Nimetembea na mama na binti yake

Inategemea mzee, lakini kwa 'binti mkubwa' na mpenz huwa situmii kwa sababu wao wenyewe hawapendi

sasa kijana wangu,inabidi ujifunze kuwa na msimamo wako wewe mwenyewe,hakuna mwanamke hata mmoja duniani anayetaka kufanya na kondom kwa hiyo ukiwategemea wao siku zote utaenda peku!

anyway,sasa kijana wangu naomba uniruhusu nianze kukupa ushauri nasaha ili baada ya kukupa uende ukapime!ni vema ukacheki afya yako umecheza mchezo hatari sana!ila kijana wangu kuna sehemu nahisi umenipiga mchanga wa macho,umesema mama wa binti ulirudisha mpira kati mara kumi,unataka kunidanganya mchana kweupe kuwa mara zote hizo ulivaa kondom???ulienda gesti na katoni nzima ya kondom??sema tu ukweli kijana
 
Kwanza kapime afya yako maana kwa hali ilivyo upo katika wakati mgumu sana kuhudumia wanawake watatu kwa wakati mmoja,inawezekana u bado kijana sana na nguvu zipo ila kukojoa hovyo si sifa bali jifunze kumridhisha mwanamke na wewe mwenyewe bila kutumia nguvu nyingi.
 
endelea na wote cku mama na mtoto wakigundua unawagegeda ndo utajua ufanyaje
 
Kuwa na mademu wawili unadhani mchezo? Tena mtu na mama yake? Ongeza nguvu uweke heshima chumbani, unagonga kwa foleni kaka, una bahati ya nyau kupendwa na walozi:sad:

Ishu sio mademu wawili, ishu ni mama wa mwanamke nilie na hisia naye na kushiriki naye
 

Kiukweli sikutumia, ila hao wawili wamepima na wako poa, kwa hiyo mimi 'automatically' niko poa
 
Wewe ni mzinifu tu halafu unaleta majigambo kwa upuuzi unaofanya ili tujue ulivyo mshenzi pumbavu kabisa wewe
 
Huu uwongo kama kweli ni pm namba za huyo bint mkubwa niongee naye
 

Jitahidi ukapime HIV hiyo ndio ushauri wanguuu kabisaa. Maana ngono haisifiwi na sio sifaa..Nyokoooo kabisaa
 
hii muvi nimeiona ni tamu sana ni ya kinaijeria ila jina lake nimelisahau lol!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…