Nimetapeliwa na muuza simu used kutoka Dubai

Nimetapeliwa na muuza simu used kutoka Dubai

Status
Not open for further replies.
Pole Mkuu, ila njia nzuri kama uko mbali ni kutuma mtu akapokee mzigo akitumie. Biashara ya mtandaoni bongo ni kulipa on delivery.
Dah Kwa maelezo ya jamaa niliona amenyooka sana.
 
Kwenye uzi wake unaosema anauza vitu used kutoka dubai.
ule uzi nakumbuka baada ya kuwekwa kuna wadau walichangia na wakasema jamaa ni Tapeli, ila wewe sijui uliusoma vizur ?
tahadhari zilitoka mapema kwamba jamaa ni tapeli,, sijui mwenZetu kipi kilikushawishi?
 
Sikuona mkuu zaidi niliona mtu mmoja kaaziga simu nakuipata ila ilikua ni tofauti ikabidi wamtumie nyingine tena.
uli uzi nakumbuka baada ya kuwekwa kuna wadau walichangia na wakasema jamaa ni Tapeli, ila wewe sijui uliusoma vizur ?
tahadhari zilitoka mapema kwamba jamaa ni tapeli,, sijui mwenZetu kipi kilikushawishi?
 
Acha wenge, mbona ni jana tu umetuma hela?

1747734863362.png
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom