Marine creature
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 2,255
- 2,977
Sawa mrembo umeeleweka...vp lkn hapo bukoba mnaendeleaje?Binti ebu uwe umwenye heshima kwanza, mimi sijaja kutaguta like hapa na hata nilizo nazo natafuta pakuzigawa...🤨☹️
Sawa mrembo umeeleweka...vp lkn hapo bukoba mnaendeleaje?Binti ebu uwe umwenye heshima kwanza, mimi sijaja kutaguta like hapa na hata nilizo nazo natafuta pakuzigawa...🤨☹️
Nilimshikisha 20,000 mkuu, bora hata ningeinunua K-Vant kubwa na misokoto yangu 10 saaaafi kabisa
Usijali huyo muuza mkaa ni mpumbavu tu. Hajafanya tena hiyo biashara kwa amani na ipo siku atakamatwa tu. Tena utashuhudiaInauma sana mkuu..😪