Nimetapeliwa mwenzenu!

Nimecheka sana, naomba msimhusishe Mungu Kwa mambo ya ajabu.
 
Amna MUNGU atakaekulipia mshua[emoji23] labda miungu ya mbususu, umeshaingizwa mjini kaa kwa kutulia[emoji23][emoji23]
 
Amna MUNGU atakaekulipia mshua[emoji23] labda miungu ya mbususu, umeshaingizwa mjini kaa kwa kutulia[emoji23][emoji23]
Sasa nifanyeje kupooza maumivu nlokua nayo?
Pesa ni ngumu sana jmn
Pesa ni ngumu
Pesa ni ngumu nyieeeee
 
Tulio soma cuba hatutumi nauli, akope anakokopaga akifika anarudishiwa, umetapeliwa kizamani sana
 
Mkuu, kumbe hapo Malamba kuna watoto wazuri [emoji1787], mimi nitatuma 500 maana tukikutana mbezi itabidi uje kwa bajaj tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Bado hela ya maji njiani mkuu inabidi utume pia, mwenzio katuma nauli na hela ya maji njiani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…