Heavy User
JF-Expert Member
- Feb 2, 2020
- 1,164
- 2,172
Yes, a very stupid man is Down!One man down
Sasa tungeonana vipiHizi akili hizi sijui mna shida gani!!!! AMEKUAMBIA ANAHITAJI MUME; Very straightforward halafu wewe unawaza kumchezea.....
HONGERA KWAKE ingawa SIUNGI mkono kuchukua mali ya mtu...
Ndio mkuu...maana umesema bi dada alikuwa anatafuta mume...mara umetuma nauli uletewe mbususu ndio nimeshindwa kuelewa[emoji23][emoji23][emoji119]
Asee atakaenasa saivi nitamgegeda mpaka hasira zangu ziishe!
Mbona nishàmtaja! Acha kukurupuka,soma post za nyuma!Wasomaji wenzangu wanakurupuka kutoa maoni badala ya kuthibitisha hoja kama ni kweli au laa.
Mwizi au tapeli siyo wa kumficha. Kama wewe mtoa hoja umetapeliwa kweli, kwa nini usiweke jina la tapeli huyo tumsute?
Msiwadhalilishe wanawake kwa kusaka followers na points.
Logic
Logic
Logic
naunga mguu hoja.Wasomaji wenzangu wanakurupuka kutoa maoni badala ya kuthibitisha hoja kama ni kweli au laa.
Mwizi au tapeli siyo wa kumficha. Kama wewe mtoa hoja umetapeliwa kweli, kwa nini usiweke jina la tapeli huyo tumsute?
Msiwadhalilishe wanawake kwa kusaka followers na points.
Logic
Logic
Logic
Mbona amemtaja juu hapoWasomaji wenzangu wanakurupuka kutoa maoni badala ya kuthibitisha hoja kama ni kweli au laa.
Mwizi au tapeli siyo wa kumficha. Kama wewe mtoa hoja umetapeliwa kweli, kwa nini usiweke jina la tapeli huyo tumsute?
Msiwadhalilishe wanawake kwa kusaka followers na points.
Logic
Logic
Logic
Asa huyo mume ni kwaajili ya kuchat nae JF?Ndio mkuu...maana umesema bi dada alikuwa anatafuta mume...mara umetuma nauli uletewe mbususu ndio nimeshindwa kuelewa
Una wengeAsee leo baada ya kutapeliwa kizembe nimeamini yale maneno ya taikoni la fasihi, usimwamini mwanamke wala kumwonea huruma!
Kuna demu humu kapost anataka mume mie nkampandia hewani, tukaekana sawa, tatizo likaja kwenye kuonana, demu akadai hana pesa nkamtigo pesa alufu 50 chap na yakutolea.
Cha ajabu hapikei simu wala kujibu msg! We mdada ulonilaghai kwa maneno matamu kua unaniletea mbususu na umenizulumu pesa yangu namwachia Mungu atanilipia! Hapa nilipo moyo unanienda kasi sana na tumachozi twa mbali.
Kuanzia leo sitasubutu kutumia mtoto wa mtu nauli! Hapa nilipo najilaumu sana ni bora ningeingia hapo juliana nkapiga kitimoto na serengeti light baridiiiii...
Swain!!
Mkuu acha makasiriko,mbona kashatajwa,au atajwe mara ngap?naunga mguu hoja.
kuna vijithread naviona vya watu kuomba ushauri wa masahibu ya kimapenzi na kijamii, ukiviangalia vimekaa kiriwariwaya tu ili ti aliyepost apate umaarufu na likes, vijana wa facebook wameshaingia humu kuleta utoto
Mkuu acha makasiriko,mbona kashatajwa,au atajwe mara ngap?
Kwa hiyo mkishachat sana unakuwa mumeAsa huyo mume ni kwaajili ya kuchat nae JF?
Mwali alitaka nauli ili aje kupajua kwake na mambo mengine yafanyike sababu tushachart sana!