Nimetapeliwa mwenzenu!

Well said!
 
Huyo dada Ameupiga mwingi sana Asee japo we ni mwanaume mwenzangu ila kwenye hili lazima Nikucheke kwa nguvu sana we unamtumiaje mtu 50k bila hata kumfahamu af kingine ambacho inabidi ujifunze mzee ni kujifunza kutongoza mzee we unatafuta vipi mke mtandaoni ina maana kwenye pita pita zako hujaona dada ukaanzisha mahusiano nae asee hadi utongoze dada usiemjua hata sura . Kwa hili sikupi hata pole bali nakueleza siku ingine kuwa na akili bro Mjini hapa usiingie kichwa kichwa
 
Unampaje pole wakati hii inaonekana ni chai kabisa mkuu!? Hivi mwanaume unaanzaje kutuma hell kwa mtu hsiyemjua wala hamjaonana?
Kaka ni true story usinilaumu mana unanionea bure,mtoto alivokua analalamika kwenye sim hata laki ungetuma! Mtoto anasauti kama kinanda
 

huyu demu nishamkumbuka si wa siku zile au tuliyekuwa tunaforce kaka Mshana Jr achukue koloni
 
Ni kama aliniloga kwa sauti yake nyororo
Kuna vitu vya kulaumiana lkn sio swala hili mkuu,
Nyeg nazo zimechangia!
KINGINE DEM ANAJUA KUPANGILIA MANENO MATAMU WACHA KABISA,NADHANI HILI LITAKUA LIPOROFESHINO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…