Hii huwa inaumiza rohoAsee leo nimeamini yale maneno ya taikoni wa fasihi,usimwamini mwanamke wala kumwonea huruma! Kuna dem humu kapost anataka mume mie nkampandia hewani,tukaekana sawa,tatizo likaja kwenye kuonana,dem akadai hana pesa nkamtigo pesa alufu 50 chap na yakutolea..chaajab hapikei sim wala kujib msg! We mdada ulonilaghai kwa maneno matamu kua unaniletea mbususu na umenizulumu pesa yangu namwachia Mungu atanilipia! Hapa nilipo moyo unanienda kasi sana na tumachoz twa mbali.
Kuanzia leo sitasubutu kutumia mtoto wa mtu nauli! Hapa nilipo najilaumu sana ni bora ningeingia hapo juliana nkapiga kitimoto na serengeti light baridiiiii...
Swain!!
Hiyo haina tofauti na kubetHivi nyie vijana lini mtakuwana akili? Mtu anataka mkutane anaomba utumie nauli? Kama hata uwezo wa kuja kuonana na wewe hana, wa nini huyo?
Jinsi ya kutag unaanza na character hii @ kisha unaandika jin la id..usiache spaceMkuu ni kisa cha kwel! Sijui tu namna ya kutag
Nauli ya Shinyanga -Dar😄😄😄Nauli elfu 50 anatokea busisi au?
Sio lazima umtag sababu naye yupo anakusoma kimya kimya humu, wewe taja jina la ID yake tuu inatosha nje ya hapo itakuwa ni chai kama chai zingineMkuu ni kisa cha kwel! Sijui tu namna ya kutag
Ni nyasaka mzungukoKigogo Busisi anapitia ukerewe
Ha ha ha kwamba Kama iko flesh ungeweka ndani fasta.Lengo ni kuichakata haswaa,pili kama iko fresh ndo mengine tuanzie apo! Kama alistuka iv
@Iyola99Sio lazima umtag sababu naye yupo anakusoma kimya kimya humu, wewe taja jina la ID yake tuu inatosha nje ya hapo itakuwa ni chai kama chai zingine
Sent using Jamii Forums mobile app
KigomaNauli elfu 50 anatokea busisi au?
Tunashukuru umemuelewa mwamba practically! Ila uandishi wako sio mzuri.Asee leo nimeamini yale maneno ya taikoni wa fasihi,usimwamini mwanamke wala kumwonea huruma! Kuna dem humu kapost anataka mume mie nkampandia hewani,tukaekana sawa,tatizo likaja kwenye kuonana,dem akadai hana pesa nkamtigo pesa alufu 50 chap na yakutolea..chaajab hapikei sim wala kujib msg! We mdada ulonilaghai kwa maneno matamu kua unaniletea mbususu na umenizulumu pesa yangu namwachia Mungu atanilipia! Hapa nilipo moyo unanienda kasi sana na tumachoz twa mbali.
Kuanzia leo sitasubutu kutumia mtoto wa mtu nauli! Hapa nilipo najilaumu sana ni bora ningeingia hapo juliana nkapiga kitimoto na serengeti light baridiiiii...
Swain!!
Nyingine tapeli ni achiiachii@Iyola99