Nimetapeliwa mwenzenu!

Kwanza kabisaa nikupe pole.... hizo picha pengine sio zake.... labdaa kachukua online...
 
Sina MDA wa kuandika thread y kusingiziwa Nina Mambo chungunzima ya kufanya na si kudeal na wapumbavu ambao hawanisaidii lolote ktk maisha ...Fikilia MTU ameamua kukuchafua acha akuchafue maana wakat wa Mungu kumuumbua si mbali na Nina uhakika kabisa sjatapel ndiomana sipapaliki na thread za kujitetea
 
Kuwa na Amani na anakuchafua vp wakat si ata hatukujui
 
huyu kijana ni Mjinga kweli nimemdharau kumbe ame edit massage ya Mwamala nilistuka 50000 kwa makato ya 9000[emoji35]

yaani huyu ametuonaje JF? naomba Jf isimamie sheria ipasavyo huyu kima ale BAN ili wengine wajifunze!
ama kweli njia ya muongo ni fupi
 
Wacha kuropoka kama shoga!
Unajua iyo pesa imetumwa kutoka wapi au unabwata tu kama bata anayejiharishia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…