Nimetamani sana ile dhana ya mfumo dume iendelee ili kunusuru kizazi cha baadaye

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Aug 1, 2014
2,778
3,360
Patriarchy ni mfumo dume, mfume huu asilimia kubwa ya maamuzi na umiliki unakuwa chini ya mwanaume, huu ni mfumo wa kijamii ambao unaoperate katika nyanja zote za uchumi, siasa na sekta zengine.

Mwanzoni mwa miaka ya 70 kuna dhana nyingi zilianzishwa kitu ambacho kimepelekea kuleta vuguvugu la haki sawa kwa wote, mwanaume akisimama huku anakojoa mwanamke naye anataka kutumia mfumo huu, totally wrong.

Kuna effect nyingi mbaya zimeharibu utamaduni wa kidunia, uchumi na mambo mengine ambayo ukweli wa mambo sababu kuu ni kuanza haya mambo ya feminism.

Uchumi umekuwa mbovu kwa sababu ya kuruhusu mawazo ya kike/idea za kike kuingia vichwani mwa watu hivyo kutengeneza udhaifu mkubwa katika uzalishaji wa bidhaa na huduma.

Siasa zimekuwa zipo based kwa upande mmoja, hivyo kumehatarisha sana mijadala ya hoja nzito na hatimaye kumekuwa na mijadala dhaifu inayojadiliwa na wakina mama, pamoja na akina baba.

Kizazi cha hovyo kimezaliwa wengi ni wapenda slop hatushangai kauli ya Chidi Benz kuwa nusu ya wasanii wanalika, hii yote inatokana na hizi nadharia na hoja za 50/50.

#Najua watetezi wa wanawake mupo ila nimetoa hoja kwa haki yangu ya kikatiba weneye msingi wa haki ya binadamu#
 
Ukiwa mwanamke huwezi support ule mfumo dume wa kizamani urudi, ulikua umejaa ubinafsi na ukandamizi wa mtoto wa kike. Mwanaume alikuwa amepewa ukubwa ambao hauna uhalisia, sababu wanaume wenye uwezo mdogo kichwani wapo wengi tu.

All in all hata hii toxic feminism haina faida yoyote in the long run, sababu unavyomkuza mtoto wa kike na kumuacha wa kiume basi huko mbele itaanza tena movement ya kiume "masculinity" so circle ambayo haitakua na mwisho

Mwisho wa siku kwa sasa sababu wanawake wanalia na wanaume pia wanalia, NATURE NI MWALIMU MZURI MILIO IKISHAKUA MINGI NA DAMAGE IKIZIDI MAMBO YATAJIBALANCE YENYEWE YENYEWE NA KUTAKUA NA SHARED RESPONSIBILITIES BILA MFUMO DUME WA KIZAMANI NA TOXIC FEMINISM YA SASA

Life is short, wewe pambana na kizazi chako mengine yatajisort
 
Back
Top Bottom