Nimetafakari, CHADEMA ni tishio sana

Kawe Alumni

JF-Expert Member
Mar 20, 2019
8,685
11,988
Hawa watu wakati wa Dr slaa waliheshimika na Watanzania Kwa sababu walikemea ufisadi, walituorodheshea mafisadi ya Nchi yetu, Watanzania tukawaamini na kuwapenda

Ila 2015 wakatubadilikia ghafla kwanza wakamfukuza kiongozi bora Dr slaa

Wakaanza kutetea mafisadi

Wakaanza kutetea wafanyabiashara haramu kama madawa ya kulevya nk

Wakaanza kutetea Mabeberu yatuibie raslimali zetu kwa wao kuhongwa dola kwenye akaunt zao

Wakaanza kutetea wahujumu uchumi

Chama chao kimekuwa kimbilio la mafisadi mfano kuna watu waliiba twiga wakaenda kuwauza nje sasa wamepewa hifadhi Chadema

Chama chao kimekuwa kitetea ushoga

Watanzania tushtuke hawa sio wenzetu tuhakikishe October tusiwape mbunge hata mmoja
 
Dr Slaa alifukuzwa? Acha kupotosha kuwa mkweli na kweli itakuweka huru. Kuhusu ufisadi na wizi wa twiga ninani mwenye mamlaka ya kuwawajibisha wahusika?

Chadema Ina polisi na mahakama? Sitetei uovu natetea haki, hao mafisadi na wezi walioko chadema ukiwa kama raia mwema saidia wawajibishwe, saidia serkali ili iweze kupata ushahidi wakuwatia hatiani.
 
Tukienda mbele na kurudi, Binafsi Mimi nilikuwa mwanachadema damu, nakumbuka nilifikia kiwango cha kuwaambia ndg zangu kipindi hicho, Kwa yeyote ambaye alikuwa anashabikia CCM niliwataadharisha hatapata msaada wowote kutoka kwangu, na Endapo angehitaji msaada basi aende huko CCM

Binafsi kama mwl wangu akinifundisha alama moja ikoje nikaikarili, halafu mwisho wa siku anataka aibadirishe Ile no moja, anifundishe kivingine nitamuona mhuni Tu

Ndivyo walivyotufanyia chadema, walitufundisha Watanzania tucheze mbali na mafisadi maana ndio sababu ya nchi yetu kuwa maskini, tukawamini, kilichokuja Kutokea, tukageuzwa watoto wadogo, wakawaita waje kwao mafisadi ili Moto ukolezwe

Niliwapuuuza, nimebaki kuwa mshabiki wa mtu mmojammoja tu
 
Mkuu hata wenye dini wananyimwa usingizi na shetani Kwasababu wakijusahau tu shetani anaharibu

Jukumu la kwanza la Ccm ni kuhakikisha Nchi ipo salama na kwakuwa Chadema wamekubali kutumikia Mabeberu jukumu la kwanza ni kuhakikisha baada ya October hii kitu inaitwa Chadema inapotea
Mlisema CHADEMA inakufa, kumbe bado inawanyima usingizi!!
 
Wasiwasi wako ni nini? Una Jeshi, Mahakama,Bunge,Tume ya uchaguzi na kila kitu ni chenu hofu ya nini?
Uchaguzi serikali za mitaa mmeshinda kwa ushindi wa mezani kwa 99.99999999999 hofu yako ya nini si mtapindua meza tena awamu hii mtapata 100%
 
Dr slaa alikfukuzwa kisaikolojia baada ya kuletewa mafisadi kwenye chama

Yeye miaka saba alihubiri madhara ya mafisadi kwenye nchi yetu

Mimi ni dagaa wale wezi wa twiga ni mabilionea ukienda kuwashitaki wanakushughulikia
Dr Slaa alifukuzwa? Acha kupotosha kuwa mkweli na kweli itakuweka huru. Kuhusu ufisadi na wizi wa twiga ninani mwenye mamlaka ya kuwawajibisha wahusika? Chadema Ina polisi na mahakama? Sitetei uovu natetea haki, hao mafisadi na wezi walioko chadema ukiwa kama raia mwema saidia wawajibishwe, saidia serkali ili iweze kupata ushahidi wakuwatia hatiani.
 
Wengi wapo kama wewe mkuu, ndani ya Chadema kuna vijana wamebaki miili tu lkn hawaridhishwi na jinsi chama kinavyoendeshwa
Wapo wapo kumfurahisha Mbowe, wasijue Mbowe ni mfanyabiashara
Tukienda mbele na kurudi, Binafsi Mimi nilikuwa mwanachadema damu, nakumbuka nilifikia kiwango cha kuwaambia ndg zangu kipindi hicho, Kwa yeyote ambaye alikuwa anashabikia CCM niliwataadharisha hatapata msaada wowote kutoka kwangu, na Endapo angehitaji msaada basi aende huko CCM

Binafsi kama mwl wangu akinifundisha alama moja ikoje nikaikarili, halafu mwisho wa siku anataka aibadirishe Ile no moja, anifundishe kivingine nitamuona mhuni Tu

Ndivyo walivyotufanyia chadema, walitufundisha Watanzania tucheze mbali na mafisadi maana ndio sababu ya nchi yetu kuwa maskini, tukawamini, kilichokuja Kutokea, tukageuzwa watoto wadogo, wakawaita waje kwao mafisadi ili Moto ukolezwe

Niliwapuuuza, nimebaki kuwa mshabiki wa mtu mmojammoja tu
 
Mkuu hapa najaribu kukumbuka Chadema ilivyosaliti wanachama wake
Wasiwasi wako ni nini?
Una Jeshi, Mahakama,Bunge,Tume ya uchaguzi na kila kitu ni chenu hofu ya nini?
Uchaguzi serikali za mitaa mmeshinda kwa ushindi wa mezani kwa 99.99999999999 hofu yako ya nini si mtapindua meza tena awamu hii mtapata 100%
 
Mkuu hata wenye dini wananyimwa usingizi na shetani Kwasababu wakijusahau tu shetani anaharibu

Jukumu la kwanza la Ccm ni kuhakikisha Nchi ipo salama na kwakuwa Chadema wamekubali kutumikia Mabeberu jukumu la kwanza ni kuhakikisha baada ya October hii kitu inaitwa Chadema inapotea
Mmebaki na propaganda za mabeberu huku kila siku mnaenda kukopa kwa mabeberu, na hata misaada wanawapa ya kuendesha nchi hivyo nyinyi ndio tuwahoji kuhusu hao mabeberu.
 
Dr slaa alikfukuzwa kisaikolojia baada ya kuletewa mafisadi kwenye chama

Yeye miaka saba alihubiri madhara ya mafisadi kwenye nchi yetu

Mimi ni dagaa wale wezi wa twiga ni mabilionea ukienda kuwashitaki wanakushughulikia
Serkali inayoshindwa kuwashughulikia wez na mafisadi, kulinda rasilimali na watu wake ni halali kuendelea kutawala? Acha kudhalilisha Chama
 
Hawa watu wakati wa Dr slaa waliheshimika na Watanzania Kwasababu walikemea ufisadi, walituorodheshea mafisadi ya Nchi yetu, Watanzania tukawaamini na kuwapenda

Ila 2015 wakatubadilikia ghafla kwanza wakamfukuza kiongozi bora Dr slaa

Wakaanza kutetea mafisadi

Wakaanza kutetea wafanyabiashara haramu km madawa ya kulevya nk

Wakaanza kutetea Mabeberu yatuibie raslimali zetu kwa wao kuhongwa dola kwenye akaunt zao

Wakaanza kutetea wahujumu uchumi

Chama chao kimekuwa kimbilio la mafisadi mfano kuna watu waliiba twiga wakaenda kuwauza nje sasa wamepewa hifadhi Chadema

Chama chao kimekuwa kitetea ushoga

Watanzania tushtuke hawa sio wenzetu tuhakikishe October tusiwape mbunge hata mmoja
Mkuu kweli umepotoka ukisema kabla ya kuondoka Dr Slaa 2015 Chadema iliheshimika,je mliwapa uraisi na wabunge wengu sababu ya ubora wake?

Je mara baada ya kuchanganya November 2015 ilivuna wabunge pungufu au zaidi sababu kwenda na wakati?
Dont underestimate Chadema.
 
Ndani ya Ccm mafisadi yote yamekimbilia Chadema
Serkali inayoshindwa kuwashughulikia wez na mafisadi, kulinda rasilimali na watu wake ni halali kuendelea kutawala? Acha kudhalilisha Chama
 
Wabunge wengi walioshinda Chadema walitokea CCM ndio maana wengi waliona Chadema ni chama cha wahuni fulani tu wakajirudia zao CCM
Mkuu kweli umepotoka ukisema kabla ya kuondoka Dr Slaa 2015 Chadema iliheshimika,je mliwapa uraisi na wabunge wengu sababu ya ubora wake?

Je mara baada ya kuchanganya November 2015 ilivuna wabunge pungufu au zaidi sababu kwenda na wakati?
Dont underestimate Chadema.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom