Nimes'tuka, waishtua Dodoma

Nimes'tuka, waishtua Dodoma

Mr Chin

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
4,625
Reaction score
1,024

[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
<tbody style="border: 0px; font-style: inherit; font-weight: inherit; margin: 0px; outline: 0px; padding: 0px; vertical-align: baseline;">[TR]
[TD] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]Super Star Actress Kajala akiongea na wananchi Dodoma live!![/TD]
[/TR]
</tbody>[/TABLE]

[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
<tbody style="border: 0px; font-style: inherit; font-weight: inherit; margin: 0px; outline: 0px; padding: 0px; vertical-align: baseline;">[TR]
[TD] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]Miss Tanzania + Aunt EZekiel + Sajenti[/TD]
[/TR]
</tbody>[/TABLE]

hawa wana punga hewa
kwa hiyo ni wapunga hewa/mapunga
mipunga
 
Nimekubali Adui yako muombee njaa........
Hawa hawa waliokuwa wakilia kuwa serikali inawapuuza!!
 
kiroho wapo ukawa kimwili wapo ccm hahahahahahah mchana kudumu chama ucku peopleeeeees
 
Kuwahadaa wasanii ndiyo kazi pekee mnayoiweza peke yake
Wananchi tumeshaamua rais ni lowasa,kura zote kwa wanaukawa
Weka na picha ya kina mama hospital jinsi wanavyolala watatu kitanda kimoja
Mr Chin
 
Last edited by a moderator:

You missed it. FYI: Old fire stick easy to catch.
 
Mimi wala siwalaumu, sasa watu hawana kazi za kufanya, wamezoea kuuza sura tu, ukawapa basi la kutembelea bure, pocket money ndefu, gharamaza chakula na malazi bure, kisha wakauze sura jukwaani tu. weweeee hata mimi ningeenda, lakini 25 oct, HAPA Laigwanani tu.
 
YAani wamesahau juzi tu watu walilalamika sna kuhusu kutumika kwenye siasa afu baadaye kama kopo la chooni 50k kwa siku is nothing dudes
RIP NGWEA
 
Kuwahadaa wasanii ndiyo kazi pekee mnayoiweza peke yake
Wananchi tumeshaamua rais ni lowasa,kura zote kwa wanaukawa
Weka na picha ya kina mama hospital jinsi wanavyolala watatu kitanda kimoja
Mr Chin

Sijui wananchi Wa nchigani wachague mwizi
 
Last edited by a moderator:
YAani wamesahau juzi tu watu walilalamika sna kuhusu kutumika kwenye siasa afu baadaye kama kopo la chooni 50k kwa siku is nothing dudes
RIP NGWEA

50k ndogo kwako....acheni watu wafanye kazi,wapo kibiashara hapo.
 
Nimejikuta sitaki tena kununua wala kuangalia bongo movie za hawa washamba.
 
Uzuri ni kwamba kwenye kibox pale tarehe 25 ni ukawa tu..ngoja wawapune kwanza...ukizingatia ni kodi zetu..
 
Back
Top Bottom