Nimesoma kitabu chote cha Mtumishi wa Mungu Dana Morey sijaona viashiria vyovyote vya ushoga

Nimesoma kitabu chote cha Mtumishi wa Mungu Dana Morey sijaona viashiria vyovyote vya ushoga

petro matei

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2014
Posts
809
Reaction score
945
Yes! nimesoma kitabu chote kimenibariki sana kwa Neno la Mungu, sijaona hata Maneno au habari mbaya zilizo na viashiria vya ushoga hakika. Nimebaki najiuliza waliompa taarifa Mkuu wa mkoa JE ni rangi ya nje ya kitabu au rangi ya mipira maana pia Haina rangi za upinde wa mvua (Rainbow)

Kwa kweli mkutano huu ulikuwa pia ni fursa kwa wakazi wa tabora kibiashara pamoja na kumjua Yesu aokoaye watu.

Na pia ni hasara kwa wandaaji na kwa Kanisa pia.

https://storage2.snappages.site/PPD...swahili_2020_4C_v3.pdf?utm_source=chatgpt.com
 
Naona Majini na Wachawi wa Tabora walilalamika kuwa kwanini ufanyike mkutano wakati wao wapo kwenye Ramadhani?

Mahubiri katika kuhubiri Shinyanga wiki iliyopita bila kuzuiliwa leo anazuiliwa Tabora eti wanahatarisha ushoga.

Pumbavu sana hilo liRC. Kama kuna mtu ana namba yake naomba. Nina shida naye.
 
Nawe binti sijui kwanini unajipa umuhimu humu JF ambao hauna. Pia sio kila uzi uwe unachangia. Nyingine ziache zipite.

Acha shobo
20260313_083356.jpg
 
Back
Top Bottom