damtanzania
JF-Expert Member
- Aug 31, 2014
- 752
- 1,465
Mi ni muhitimu wa chuo cha takwimu miaka kama miwili hivi iliopita. Nimefanikiwa kupata diploma ya official statistics. Nimesha zunguka wee kutafuta kazi za fani yangu sizipati. Nimechanganyikiwa sijui hata nifanyeje :-(