Hi idi mpya inatutia mashaka sana na jina eti 'pisi kali' sijui unataka kimdaka nani?Habari wakuu
Heri ya mwaka mpya
Jinsia: ke
Umri: 23
Mahali napoishi: dar
Elimu: diploma in procurement and supply management
Natafuta kazi yoyote ya halali, mkoa wowote
pia ni mwepesi kufundishika
Kazi kama ya marketing officer’ hotel’ kuuza duka naweza haswa maduka ya urembo na nguo maana niko vizuri kwenye kuwashawishi wateja na pia ni muanifu % supermarket n.k
Nb: sina hela ya kupewa connection unisaidie tu nitakushukuru sana
Wale wa unilipe nikupe kazi’ SINA HELA wakuu
Matumaini yangu wanajf mtanisaidia
Wasalaam
Hi idi mpya inatutia mashaka sana na jina eti 'pisi kali' sijui unataka kimdaka nani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama unaweza kutoa location ya ulipo, kwanini kujificha kwa hiyo ID?hebu kuwa serious , una lengo gani haswa???Dar mbezi beach (makonde)
😂😂😂Hi idi mpya inatutia mashaka sana na jina eti 'pisi kali' sijui unataka kimdaka nani?
Sent using Jamii Forums mobile app
why pisi kaliHabari wakuu,
Heri ya mwaka mpya
Jinsia: ke
Umri: 23
Mahali napoishi: Dar es Salaam
Elimu: Diploma in Procurement and Supply Management
Natafuta kazi yoyote ya halali, mkoa wowote
pia ni mwepesi kufundishika
Kazi kama ya marketing officer’ hotel’ kuuza duka naweza haswa maduka ya urembo na nguo maana niko vizuri kwenye kuwashawishi wateja na pia ni muanifu % supermarket n.k
NB: sina hela ya kupewa connection unisaidie tu nitakushukuru sana
Wale wa unilipe nikupe kazi’ SINA HELA wakuu
Matumaini yangu wanajJF mtanisaidia
Wasalaam
just PM me naweza fanya kitu ila unaweza fanya clearing and forwading sijui kama nimepatia vizuruWhy crusader je
Nenda kwenye viwanda na logistic company changamka peleka CV huko
Fanya hivyo hakuna kiwanda ambacho hakina manunuzi (procurement)Asante nitafanya hivyo
Ndo hapo sasa ushangae mwenzangu lol, humu ni uwanja wa maonesho tyuuuhKwa kweli maana mtu anakuja anakuambia Nitumie picha yako na sio cv