Nimesitisha kumuombea Rais

Tatizo la watu wengi wanakua na hofu ya Mungu kabla ya kushika madaraka, wakisha pata madaraka Mungu anatamkwa kwa mzaha tu.Mungu ni mtakatifu.Ndio maana katika amri kumi za Mungu amri ya 3 inasema hivi;"USILITAJE BURE JINA LA BWANA MUNGU WAKO" Sasa ukianzia kwenye KUAPA mpaka kwenye Hotuba Viongozi wetu wana mtaja Mungu kama mtu fulani bila ya kuogopa Utakatifu wa Mungu au Amri aliyotoa .Tuheshimu Jina la Mungu kwani kwa kulitaja ili kufanya watu wafurahi au wakuamini na wakati hutendi haki au hutekelezi uliyosema ni Dhambi na Laana.
 
Hujafanya kosa Mkuu kuacha kumuombea huyu Janga la Taifa mwenye roho mbaya kuliko hata shetani, mzinzi ndiyo alihonga nyumba kwa hawara yake ambaye ni mke wa mtu aliyezaa naye, fisadi na mwizi na pia muongo baada ya kulidanganya Bunge kuhusu upotevu wa zaidi ya bilioni 100 pale ujenzi na anaendelea kuwakingia kifua mafisadi wenzie akina Lugumi, Escrow, IPTL n.k. Watanzania wengi hatukuwahi kumuombea huyu maana tulifahamu siku nyingi ni mtu wa namna gani na yale yaliyosemwa na wengi kwamba huyu ni janga la Taifa sasa yanadhihirika.

 
Safi sana hicho kidonge ni chake akimeze haraka sana!!
Asitusumbue hovyo kumuombea wakati anazuia mawazo huru!! akitaka uhitla na tabia mbaya nyingi!! Kule biharamulo aliwahi kuwaambia "kunyeni mavi mufanye lami kwenye barabara yenu" Hii ni baada kumnyima kura katika eneo hilo. Baada ya kudivert barabara isipite kwao badala yake ipite nyumbani kwake chato!!. THIS IS NOT A PRESIDENT MATERIAL PERIOD!!
 
Reactions: BAK
Wewe siyo mwanamaombi ila mbabaishaji tuu.... Unasoma bibilia kweli wewe? Huoni kwamba Mungu anazidi kukupa sababu za kwa nini unatakiwa kumuombea kwa bidii?

Ni vizuri umeacha hyo kazi maana sifa huna.
 
Hivi hiyo ya kinyesi kuwa lami aliitamka kabisa hadharani??
 
unampinga magufuli rais wa wanyonge .....we ataombewaje na wewe wakat wanyonge wanataka aish miaka 200
 
Nani anauhakika kua ni kweli kwamba ulikua ukimuombea? Yaani kadri siku zinavyozidi kwenda ndivyo jinsi tunavyozidi kuwafahamu ukawa halisi! Ni sifuri tu!
 
Kweli mkuu, nikiendelea kumwombea nitakuwa namimi kama nayabariki mateso ya wananchi.

Watu wanavyolalamika maisha, ajira, wanafunzi wanavyolalamika kukosa masomo, watumishi wanavyofukuzwa hovyo, yote hayo sitaki kushiriki laana kupitia maombi yangu.

Akili yako siyo nzuri..wafanyakazi hewa kwa hiyo waachwe?? Watu wafuje Mali za umma waachwe, eti wakitumbiliwa nongwa...hivi watanzania tumelogwa??yote hayo yanayofanyika ndyo tuliyokuwa tunaayataka..sasa yanafanyika mnapiga makelele...mafisadi nyie...mnaniudhi sana...tena sana...tena wengi wenu ni mlio kuwa ccm wapiga dili..dili zimefungwa mnapayuka tu...tulieni nchi ndo inajengwa hivyo...ww mwenyewe ukiwa unajenanga nyumba yako huwa unabana matumizi tena muda mwingine hata deshi..unapiga...sasa iweje kujenga nchi...tokeni huko bana...
 
Mkuu usichoke kumuombea "mzee wa sadam hussein rais wa kuwait"

hahahahaha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…