Nimesingiziwa mimba na mama Mkwe

Nimesingiziwa mimba na mama Mkwe

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,579
Reaction score
161,430
Mama mkwe wangu ana karibia miaka hamsini. Yeye hakuwahi kuolewa maishani mwake.

Tunaishi mkoa mmoja ila maeneo tofauti. Sasa ana ujauzito na kamwambia bintiye (mke wangu) kuwa ile mimba ni yangu. Eti nilimbaka.

Binti anataka na anataka tugawane mali. Msaada please, maana mwenyewe nimeelemewa na mawazo.
 
hahaa bujibuji shkamoo bana..siku telee sijakusikia.heri ya mwaka mpya
 
Mama mkwe hakuwahi kuolewa then ni m.a.l.a.y.a? Kwani bint hawez kujiuliza hapo?
 
Mama mkwe wangu ana karibia miaka hamsini. Yeye hakuwahi kuolewa maishani mwake. Tunaishi mkoa mmoja ila maeneo tofauti. Sasa ana ujauzito na kamwambia bintiye (mke wangu) kuwa ile mimba ni yangu. Eti nilimbaka.
Binti anataka na anataka tugawane mali. Msaada please, mAANA MWENYEWE NIMEELEMEWA NA MAWAZO

Mama Mkwe na Mwanae lao moja....Hapo hamna cha mimba wala nini kinachotafutwa ni "mgao wa mali" ulizonazo....Kama unauhakika mimba si yako basi elewa fika kaka "wao" wanazitaka mali zako tu, muhimu kwako ni kuamua kugawana kwani uking'ang'ania basi kifuatacho ni Kifo....

 
Kwannza pole sana kwa hili ambalo ni zito na ambalo kulibeba inahitaji kuwa na kifua! Labda kabla ya kukupa mawazo na ushauri wangu juu ya hili ni vema ukanisaidia kujibu maswali yafuatayo:-

a) Ni kwa mazingira gani yanayosemekana ulimbaka huyui Mama Mkwe wako?
b) Mna ukaribu gani na huyo Mama mkwe wako?
c) Mke wako anakuwa wapi na kuwapa ninyi nafasi ya kuweza hata kufikia mahali pa kuwa faragha wawili kiasi cha kutamaniana mpaka ufikie kumbaka/
d) Je unadhani kwanini amekusingizia wewe na wala sio mtu mwingine?

Majibu ya maswali haya yatanipa picha ya kukujibu swali lako kwa ufasaha.
 
how long have u bn married na mmechuma mali kiasi gani?nyingi?kuna uwezekano wamekutegeshea bt pia kuna uwezekano mkwe anataka kumharibia mwanae...mwambie mkwe ajielezee vzuri...kama mkeo anataka talaka kataa kama bado unampenda,ila tumia strategy mpate separation ya 1yr,mkwe akizaa mpime DNA mjue ukweli then utaona mke wako ata stand wapi theeen ndo mgawane mali..js a thot
 
si ulisema umehama MMU sasa leo sijui unatafta nini?
 
How ina maana ushampitia ma mkwe ww..
 
Bujibuji una tabia mbaya kisa cha kumgegeda bibi wa watu ni nini?
 
Last edited by a moderator:
Mama mkwe wangu ana karibia miaka hamsini. Yeye hakuwahi kuolewa maishani mwake. Tunaishi mkoa mmoja ila maeneo tofauti. Sasa ana ujauzito na kamwambia bintiye (mke wangu) kuwa ile mimba ni yangu. Eti nilimbaka.
Binti anataka na anataka tugawane mali. Msaada please, mAANA MWENYEWE NIMEELEMEWA NA MAWAZO

wewe kweli Bujibuji. Kama kawaida yako
 
Ha ha haaa...kwa namna ulivyoeleza inaonekana tukio la ubakaji lipo ila mimba umesingiziwa ha ha haaaa...mamamkwe mbayaaaaaaaaa!
 
Back
Top Bottom