Mtoboasiri
JF-Expert Member
- Aug 6, 2009
- 5,100
- 1,955
Khaa jamani mbona kufuru namna hiyo kwahiyo ulitaka watu wasiende kuzika?wangekosekana napo mngesema sasa sijui mnataka iweje?yamepotea mabiloni mangapi hata leo mlalamikie umati ulioenda kumzika kanumba yaani binadamu wana hila kama kkikwapa kunuka bila kidonda acheni hizo.
Mimi napenda tu kuwaambia magamba kuwa upendo kwa serikali yao hauji kwa kudandia misiba isiyowahusu ila ni kwa kutatua matatizo ya watanzania. nimeshangaa sana watu niliwaona kwenye msiba huu wakati naangalia TV ya magamba Clouds TV. Nape, Mukama, Tibaijuka, Membe, Bilal, Mama Salma, Mwenda, na wengine magamba wengi tu. yaaini wameteka msiba wa vijana wasanii na kuufanya wao. wanaongea wao tu na wanaonekana wao tu hii ni hatari sana sijui kwenye ofisi zao yupo nani. Just imagine eti Mkama na Nape wanaenda kutoa speech kwa mantiki ipi kama si cheap politics? Tuamke watanzanjia tusitetee tu vitu vya ajabu ajabu ni kweli upendo katika misiba na kufarijiana ni utamaduni wetu sisi watanzania lakini kwa haya niliyaona leo sidhani kama ni upendo tu bali kuna watu kutaka kuchukua umaaurufu kwa kigezo cha msiba huu. Tuwaachie vijana msiba wao wamzike mpendwa wao bwana na wao leo ni wakati wao wa kuuza sura na sio kila seheme tuuze sura sisi tu HAPANA

Tanzania inavyo pigika kiumaskini jibu lake limejibika leo. Taifa letu lina wajinga wengi, wasio na kazi za maana lina viongozi wengi wanaitwa wa kitaifa wasio na maana na wanajishughulisha na vitu vya ovyo, eg Rais kwa huo msiba, badala ya kua dress kwanini mafuta ya petrol yamepanda kutoka sh1,940 kwa lt kuwa 2,331 kwa litre. Ama kwanini umeme unakatika bila wateja kutaarifiwa. Mi najikana kuwa mtanzania kwa huu ujinga ninaouona.

uvivu wa Watanzania hawana kazi za kufanya hata wangemkuta ameuawa kwa kuiba bado wangemtukuzaR.I.P Kanumba,
Rev uko Sahihi, Naona Bongo Movie wameuteka msiba wa Kanumba ili kuonyesha/Kukuza Empire yao, Hata wale ambao walikuwa wanampiga Vita wakati akiwa Mzima sasa hivi wao ndio Kimbelembele na kutaka kuonekana kuwa wao ndio hasa, Wazazi nao wamekosa kauli juu ya mtoto wao, Hii ndio TANZANIA.
Mimi ukiniambia kuna nchi yenye mijitu milimbukeni na mishamba na mijinga kama Tanzania nitakubishia kabisa. Mara ifukuzane na mifupa ya albino mifukoni eti ni utajiri, mara ogope kutetea haki zao, eti ni kuharibu amani na utulivu (wakati wastani wa umri wa kuishi uko 40-45, ajali zikitokea eti ni mapenzi ya Mungu, uf...... Taifa la mijinga. Nahamia walau KenyaKila kitu kimesimama! Barabarani hakupitiki, watu hawafanyi kazi kisa kifo cha Steve Kanumba. Ninaangalia TV watu wengi wapo leaders kumzika SK! Hilo taifa ni la wajinga Kama viongozi wake! Watu wote Hawa walio leaders hawazalishi kitu! Taifa maskini na wananchi wake maskini vichwani. Lowassa nadhani hakuhangaika na Huu msiba wa kisanii
RIP Kanumba
Rt Rev Masa
Mh hii ndiyo mila yetu mkuu kusherehekea pamoja na kusikitika pamoja
Kanumba wa agreat man Masa!
Nafikiri una matatizo ya akili. Hivi unataka kuniambia haujawahi kufiwa. Sisi ni watanzania na jadi yetu ni upendo. Mchango aliotoa Kanumba kwenye jamii ya Tanzania nina imani wewe itakuchukua muda kuufikia. Penye matatizo ushabiki wa kitu chochote unakaa pembeni. Kanumba kafa tunaomboleza. Elewa hivyo
hivi raisi wetu hana kazi za msingi za kufanya? yes kanumba alifanya kazi nzuri katika tasnia ya filamu lakini je kwa umuhimu gani hata raisi mawaziri wabunge na viongozi wa mkoa kuacha kazi zao na kuenda ktk msib?a sawa viongozi pia ni wananchi yaweza kuwa walimpenda msanii huyu lakini msiba kuwa wa kiserikali? kwani watu wangapi tanzania wameyafanyia mambo makubwa na yamuhimu taifa yani msiba kugharamiwa na serikali hekaheka mtaani ndio maana tupo hivi tulivyo watanzania tunatia huruma.
uliza gharama na michango waliyotoa huko msibani halafu kuna wamama wanasafiri kilometa kumi kutafuta kisima cha maji kitoacho maji japo yana rangi ya kahawia ili mradi makayatumie.
kazi sana kuikomboa tanzania kifikra na mtazamo.
RIP Kanumba
Ona Waziri Nchimbi ameshinda msibani siku Mbili jamani wendawazimu Huu!
Na side na wewe Masa!
Na huu ndio unatufanya tunakuwa hatupati nafasi za kuajiriwa sehemu nyingi kwa kuendekeza mambo yasiyo na msingi.
Msiba una wenyewe, we unaacha kazi ambayo ndiyo hukupatia kipato wewe na jamaa zako unaenda leaders eti kumwanga SK! Nina rafiki yangu mmoja, kiasili yeye anatoka nje ya hii nchi, alifiwa na baba yake akanambia hawezi kwenda as kwanza likizo yake ni after 4 months! sana sana alisema yeye atatuma hela zisaidie mazishi then yeye ataenda wakati wa likizo. Alisema kuwa hata akienda hendi kumfufua so cha msingi ni kusaka fedha ili alee mama na wadogo zake! Yaani kumjua tu SK basi watu wanapigwa na jua tangu asubuhi na hata hawakumwona huyo SK mwenyewe na sio ajabu virungu wamekula halafu kesho watatumia ile hazina ya tudawa tulikokuwa nato kujitibia for unnecessary ceremony!
Mimi ukiniambia kuna nchi yenye mijitu milimbukeni na mishamba na mijinga kama Tanzania nitakubishia kabisa. Mara ifukuzane na mifupa ya albino mifukoni eti ni utajiri, mara ogope kutetea haki zao, eti ni kuharibu amani na utulivu (wakati wastani wa umri wa kuishi uko 40-45, ajali zikitokea eti ni mapenzi ya Mungu, uf...... Taifa la mijinga. Nahamia walau Kenya