Heloo
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 4,391
- 3,402
Nimesikitishwa sana Na uonevuu Wa waziii kwa Diwani Wa Kata ya Saranga Kinyafu kutenguliwa Udiwani wake...tukumbuke huyoo ndo Diwani Mdogo kupata kutokea toka Upinzani miaka mitano iliyopita Kabla ya kushinda kwa awamu ya pill.
Nasema kwa uhakika kwa kuwa nilikuwa kati ya mawakala kati ya vituo tulivyokuwa tunatembelea kuangalia Nani kapata nn Na watu Wa Ccm kusaini Kinyafu toka Chadema aliongoza..mpinzani wake Mkuu anamnyanyasa kwa kuwa kipato cha huyo Diwani Dogo ukilinganisha Na yeye ni Mdogo..
Haki itendeke la sivyooo maandamano ya Amani yatafuata..kwa nini mtu ashinde kihalali mje kuhairisha juju?. Ukweli ni kwamba ukiona sehemu yenyee upinzani mkubwa Mpinzani kushinda ni nguvu ya wanainchi hakuna upenyo Wa mpinzani kuiba jamani Nasema kwa Uchungu..I know the Guy...amejitahidi sana kufuatilia masuala Manispaa posho yakee ya mfukoni kujengea madarasa Hata madaraja ya ndani.
Please Mahakama tendeni haki, wananchi wakimchagua MTU muheshimu mtasababisha fujo..kwa mini mnaminya haki.Nimefurahi kusikia atakata Rufaa Huko Naamini Haki itatendeka..umewai on a wapi Diwani asiwe Hata Na Baiskel kwa jili ya wananchi? I wish MTU aweke Picha ya huyo Diwani Dogo.
Na ikumbukwe Ni yy aliyevunja Rekodi ya kuwa Diwani Mdogo toka upinzani Na kuwabwaga ccm upande Wa Kimara kata ya Saranga. Akafanyiwa visa viiingi kwa kurudia uchaguzi Wa Udiwani..aliwania tena awamu ya pill..Leo hiki anashinda mnamkata?
I feel like crying!!!!!!