Mzee Bulembo yeye ana hekima sana na Busara lakini kwa huyu Binti yake kwa kweli hapana. Halima busara yake ni sifuri(0) na ni karopokaji sana.
Mzee wetu Bulembo una watoto wengi tu wanaojitambua, sijua ni kwanini hukumchagua mmoja ndie afuate nyayo zako badala yake ukamchagua huyu Binti.
Huwa nafuatilia siasa zake naona kuna shida kubwa sana.
Anyway najua anatembelea jina lako