Nimeshindwa, Nahama Chadema

Siku zote nuru na giza havipatani, Chadema ni Nuru, CCM ni giza, nenda zako ukaishi gizani.

Mawazo ya walio wengi hata wanachama wa CCM wanaunga mkono maamuzi ya kijasiri ya wabunge wa CDM. Tuko pa1 sana na esp. Jumuia ya wasomi nina imani waliojiweka madarakani kama watawala hatima yao iko ukingoni tukiungana tutaweza.
 

Wewe ni msaliti kabisa wa Waliowema. Huuoni utetezi wanaojaribu wanachadema kukuletea mabadiliko yenye tija! Au wewe nawe umemezeshwa sumu.
 
Ukiwa CHADEMA huwezi kwenda CCM. Mind chemistry ya watu wa huku si ya namna hii. Trojan Horse you will never win.Our minds are higher than yours Kishongo
 
Tafadhali acha spin. Tangu lini ulikuwa Chadema? Posts zako zote tukizikusanya zinaonyesha kukipinga chama hicho. Tumekustukia!
 
huyu siyo mwanapinduzi,hii ni njia mbadala kuliko maandamano ,ni rahisi na yenye ujumbe mzito,swala ni tume ya uchaguzi,uliza cuba castro walimfanyaje na sasa mambo yao poa.

Harakati za Castro huwezi kuzilinganisha na za Chadema. Yeye alikuwa na dira, Chadema haina dira.

Tunaburuzwa buruzwa tu na watu wachache wanaojiona ndio wenye chama.

Wabunge wa viti maalum hawakuchaguliwa, wameteuliwa na 'consultant'.

Uteuzi wenyewe umejaa mizengwe ya ajabu, mwishoni tumeishia na wabunge ambao ni watoto wao, mabinti zao, wakwe zao, wake zao, shangazi zao na marafiki zao.

Mwenye kujua haki zake za kiraia hawezi kuvumilia haya.

Zaidi ya yote, uamuzi wangu umesukumwa na hoja kwamba mtu niliyempa kura yangu hataki kunitumikia.

Anafanya usanii bungeni kwa amri ya mtu ambaye sikumchagua.

Bakini na lichama lenu.
 
you are not a member, a supporter , a zealot or any relation of the sort. so you are just nothing to chadema
 
Kwani ulipokuwa ukijiunga na CHADEMA ulimjulisha nani?
 

Hata maandiko matakatifu yalishasema siku zaja ambapo ngano na pumba zitakapogawanywa. Sasa mziki wa chadema huuwezi mana we ni pumba lazima uende unapostahili....kwa mafisadi na wababaishaji wenzako sisiemu...nenda mamluki mkubwa wee
 

Mimi ni mtanzania halisi, naishi bongo.
Ni mpambanaji katika jamii.
Naipenda nchi yangu na ninakerwa na yeyote anayetaka kuleta siasa za chuki Tanzania.
Katika Chadema hili nimeliona na linafanyika ili kufikia malengo ya kisiasa. Hii pia ni sababu iliyonifanya kukiacha.
sijawahi kuwa na pasipoti hivyo sijawahi kufika UK.
 

............ 笨
 

Nashukuru kwa ushauri, Nitauzingatia.
Tanzania ni yetu sote, hakuna chama chenye hatimiliki ya nchi yetu tukufu.
 
Shame on you....acha kuongea pumba aisee
 
toka lini ulikuwa chadema? usirudishe kadi wiki ijayo rudisha sasa......wanafiki wengine bana!

Uchaguzi umekwisha na kazi uliyotumwa umeitimiza...rudi kwa wenzako waliofulia mkaangalie namna ya kuchakachua next time.
 
Haya safari njema,wambie hao wenye mawazo kama yako na bao,this is just intr.
 
ficha upumbavu wako, hujawahi kuwa mwanachama wa chadema ww. baki huko huko ccm ukalambe miguu ya kina EL, RA na vijisenti.
 
Hii nimeipenda sana na nimecheka sana asubuhi hii. Duh, hivi mbinu hizi za kitoto bado watu wanazo au wanaleta utani ili kuchekesha watu tu. Ndugu yangu ni haki yako kabisa lakini ninaamini hujawahi kuwa mchadema bali wewe ni mccm tu unayefanya ujasusi katika jamvi hili. Hata hivyo endelea na umwambie Makamba kuwa watu siku hizi si mabwege tena na wanaitakia ccm kifo cha haraka mithili ya kile cha ebola.
 
Kutokana na jina lako kukaaa kiajabu ajabu sina shaka wewe ni Malaria sugu, haya ukifika tusalimie waambie wakupe viti maalum
 

Kila la kheri ktk chama chako; ila tamko lako la mwisho hamna. Mwenyekiti wako hana FIKRA.
 
Kwaheri mkuundugu yetu! ila hiyo kadi uirudishe CHADEMA sio huko unakokwendwa ni vyema uirudishe ulikoitoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…