Nimeshindwa kushangaa

thadei kimambo

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2013
Posts
220
Reaction score
126
Walevi wa2 waliokota kioo.mlevi mmoja alikiangalia kioo kwa mda mrefu kisha akasema "hii sura sio ngeni kwangu ila jina ndio nimelisahau".mlevi mwenzake akampokonya kioo kisha akakiangalia na kusema"huyu si mimi, alafu unajifanya umenisahau jina". Cjui nani kalewa zaidi kati yao
 
iiiiiiiiiiiiiiiiiiiii kumbe ni wewe?ndio maana nimeiona hii sura si ngeni.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…