Mtoto wa Malaya
JF-Expert Member
- Jun 15, 2016
- 202
- 154
kuna kampuni moja ya kibongo inaitwa seebait.com unaeza kuitumia kwa kuweka ads katika blogu yako iko fresh sana na wanalipa kuanzia $5OHabarini wakuu,
Natumaini mko fresh, niende moja kwa moja kwenye mada.
ni muda mrefu nilikuwa kimya kidogo kutokana na mambo ya kuongeza elimu kidogo maana wanasema elimu haina mwisho.
Najua humu kuna blogers na IT wengi hivyo natumaini mtanijuza hili ninalotaka kujua.
Iko hivi kuna kijana wangu ana blog yake inayohusika na mambo ya muziki na mpaka sasa imetimiza miezi 5 na kila siku ana uhakika wa kupata views 1500 mpaka 2000
sasa nina kama week hivi nimekuja huku akawa kaniomba nimuunganishie Adsense kwa sababu nina Idea kidogo na mambo ya It japo sio kivile,
sasa mara baada ya kufuata hatua zote za Google adsense baada ya siku mbili wakajibu kuwa hawataweza kutupa nafasi kwa sababu blog yake anaweka content za kiswahili otherways tubadiri rugha tuwe tunatumia kiingereza kisha tuombe upya, hilo pia likashindikana maana wasomaji wengi kibongobongo wanatumia kiswahili.
nilipoona adsense magumashi ikabidi nimtafutie kampuni nyingine lakini tatizo ikawa sina uhakika ni kampunii ipi ya matangazo inalipa zaidi kwa mazingira yetu?
Nimeona makampuni mengi ikiwemo Propeller Ads, Bid vertise, Info links, nk lakini sina uhakika ni kampuni ipi iko poa zaidi hata kama ni ya hapa Bongo,
Kingine nasikia kuna watu wana ujanja wa kuweka adsense ya Google hata kama unatumia kiswahili! naomba maujanja basi wadau ili kijana aanze kupiga vijisenti, maana ameanza kukomaa na hii blog tangu yuko chuo mwaka wa mwisho.
Natanguliza shukrani.
haya ni malipo unalipwa baada ya siku ngapikuna kampuni moja ya kibongo inaitwa seebait.com unaeza kuitumia kwa kuweka ads katika blogu yako iko fresh sana na wanalipa kuanzia $5O
ingia kwenye web yako, au nichek kwa WhatsApp O65292O596 / Mpemba
ndiyoWanalipa kwa blog za kiswahili
Naombeni msaada kuonanisha tayari nisha jiungandiyo
Njoo nikuuzie adsense acc kwa 40kHabarini wakuu,