dah!!...umekuwa JF addicted kiasi hicho mkuu..mpaka kanisan. utulivu wa kusiniliza neno mungu hakuna....shetani amekuzidi mbinu mkuu ni sawa na hujafika kanisani kabisa..heri hata ya yule amebaki nyumbani kuliko wewe umeenda kuifanya nyumba ya ibada sehemu ya mzaha