KUNGURUHAFUGIKI
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 346
- 74
Mwanaume asifiwi sura anasiwa kazi , MWANAMKE TABIA SI MAVAZI ,siku zote tamaa ya fisi haimfikishi mtu mbali mwanaume mzima kumendea vibinti vidogo ndo husiseme ,wadada nanyi mmekubuhu mwanamke sketi fupi akiinama anamwaga mchele nje kweli dunia imeisha, rushwa za ngono maofisini ndo husiseme jamani tunaelekea wapi? Magonjwa yametapakaa chungu zima lakini watu hawabadili tabia ,kesi za kuachwa na kuacha zimetapakaa kila mahali mara ndoa ya kufulani imevunjika kisa mme au mke ametoka nje ndo husiseme , mabinti wanajiuza kila kona ,nguo zilizo kuwa zavaliwa ndani leo zinaonekana kama style na mtu kuwa na mpenzi zaidi ya mmoja na kama fashion , watoto wanatembea na baba zao na vijana wanachukua hadi mama zao . WAKUU KWELI HII NDO DIGITAL YENYEWE