Nimeshinda Millioni Kumiiiii!

Aaaaaaa Kiberaaaa, kiberaaaaaaaaaaaaaa!

kibelaaa!! samaki kumpataa? walahi sepata kitu mieeeh!! Lakini lile la mmasai mzee Laiza Olenailio wa CRDB ndio lina-hit zaidi.Nabonyesa mpaka fidole napata sugu.
 
je na lile la dereva kibajaji anayesahau foleni na abiria?
 
kibelaaa!! samaki kumpataa? walahi sepata kitu mieeeh!! Lakini lile la mmasai mzee Laiza Olenailio wa CRDB ndio lina-hit zaidi.Nabonyesa mpaka fidole napata sugu.

Umeona eee!
Tatizo huwa haliendi hewani mara kwa mara kama haya ya voda.
 
Yale ya Joji poji ndio yalikuwa yananiacha hoi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…