Nimeshikwa na Taharuki

Ulijua alipohamia Chadema atapeleka umbea kuhus CCM wanavyofanya et, ndo hasara ya kuwa shabiki maandazi, pole..


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aliambiwa sumu haionjwi kwa ulimi mkuu, wewe hapo ungebaki?
Na ukute alizoea kuonja vitu kadhaa kwa ulimi, mfano labda uviza kule.
Kakimbia sumu kakutana na sumu aonje yamkute ya mangula
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…