Haya majibu yako natamani hata kukuuma! Ombi lako ni batili ndugu mteja tazama vyema ombi lako kabla mhusika hajakutoa mapengo nakadharika!!.
Nakuambia babu yangu shababi nimekutajia tu wamng'ang'ania! Ukiongea nae utakuwa huna nafasi ya kusema no!! Huu mjadala naufunga utaniuzi nimeze simu bure..
Aysee... bt inakuwa haina amsha amsha. Utamu ni pale ushirikiano unapokuwa full! Kila kiungo kifanye kazi yake. Tujiachie tu, sisi blacks hatuna shida ni mafua km mafua mengine.
Chadema/ upinzani huwa ni mawazo yaliyo ndani ya mioyo ya wananchi juu ya kutoridhika hasa na mfumo wa utawala ktk nchi kwa mfano wanachi hawaitaki hii katiba ya sasa kwani inamapungufu mengi haiendani na hali ya sasa ya ulimwengu hivyo hata kama mbowe atajiunga ccm bado hakuta jibu la kitendawili cha mahitaji ya wananchi hakuna mamluki wa kuibomoa chadema au upinzani kwa sasa mda umewaacha
Wote waliohama ccm na kwenda chadema mamvi na mr zero waliamua kwautashi wao tena kwa dhati nakuhakikishia kama tanzania ingeendelea kuwa na siasa za kistaarabu kidogo kama zamani hawa wazee wasingerudi ccm kamwe ila kilichowarudisha ccm ni siasa chafu za kukomoana kutekana kufungana yaani matumizi mabaya ya dola kwa upinzani hicho tu hakuna cjui cha kutumwa kukiboa chadema ni mawazo yangu tu
Ahahaha sawa sawa...Corona fitnah!!Aahahahahaa ngoja Corona iishe.
Haya sasa ni mawazo ya kiutu uzima, achana na vichelema kama Salary Slip wanaochekelea ati acha akina Komu waondoke! Siyo ishara njema na akina @vuta wanatoa uzi wa kijinga kukejeri Mbatia . To a serious person ataona kuna shida fulani huko ChademaNilishangaa kidogo na sikuweka uzi sababu niliona ni mpenda mageuzi kwelikweli na kwenda kwake Chadema nilikuchukulia kuwapa support, ujuzi au siri ndogondogo zinazotumiwa an CCM ili washinde ukizingatia yeye alikuwa CCM miaka kadhaa na sikuhofia kama alifata maslahi maana kufikia kuwa na wadhifa wa Waziri Mkuu wa nchi una nafasi ya kupata vingi tuu.
Ila tangu waliohama CCM na kuhamia Chadema badala ya kufanya Chadema kisonge mbele badala yake kimerudi nyuma na kuvurugwa na kuchanyatika ukijumlisha na Zito bin kuhamia ACT bin Slaa kukimbia nchi na mapicha picha ya kila rangi....
Nashangaa sababu wakati huu ndo Chadema kinahitaji msaada ili walau nacho kisimame kifua mbele kupambana na uchaguzi, badala yake wanahama na kurejea walikotoka...
Nimeelewa kwa nini vijana wanapotezana juu yako.
Ni mtam...tam aisieee 'kasie'.
Nawaza tu simulizi hizi zipoje pale kitandani, si ndio komesha! Aaah, basi hayo tuyaache. Hapa ni siasa tuu, kama Kazi Tuu!
Haya sasa ni mawazo ya kiutu uzima, achana na vichelema kama Salary Slip wanaochekelea ati acha akina Komu waondoke! Siyo ishara njema na akina @vuta wanatoa uzi wa kijinga kukejeri Mbatia . To a serious person ataona kuna shida fulani huko Chadema
Missing you too bebez. Twende zetu karantini tukaji lockdownKuntaaa missing you, twende rafiki yangu huku kuna wenyewe atii.
Kama uliiona ile salamu ya miguu ya magufuli Mimi pia nimeiadapt ila nimeiboresha zaidi yani inaitwa ngwaraa😂😂 Sasa we nikorofishe siongei Sana sekunde moja upo hewani inayofuata upo chini na ugoro nakunyang'anya nakubembeleza ukilia ukizidi nakupa dozi nzuri ya nguvu ili uache kupenda mazee menzako.Kenzy acha fujoooo
Babu na bibi wakiwa wanavuta ugoro wewe unaenda kuchuma mahindi shamba uyachemshe sie tumumunye.....aahahahahahaa kama nakuona ulivyonuna.
Kwani tunafanya nini pamoja (mhenga kwa mhenga!) joke. Angalia mijadala ya humu ndani, mingi ni utoto mara fulani kanunuliwa, kila siku nawaeleza kuwa watu serious hata kama wanajua mwanachama wao amenunuliwa wataona aibu! Why ours not them?Tuko pamoja...
Hata isipoisha sawa tu chamsingi nipo na wewe Kasie matata bebez mkaali karantiniNiko tayari kwa jeurii ya chama, ndani ya chama chenyewe...
Na tukijifungia huko Covid19 iishe December 2020.
Aahahahahaaahaahahahahaaa hateriiiiHata isipoisha sawa tu chamsingi nipo na wewe Kasie matata bebez mkaali karantini
Sent using Jamii Forums mobile app
Njoo chumbani hapa wànatuchora babeAahahahahaaahaahahahahaaa hateriiii