Nimeshikwa na Taharuki

CDM Ina nguvu kubwa kuliko unavodhania wewe Dada

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli kada yako mahaba,kitu tushasahaugi!! Mi mwenyewe nimetaharukika... unipe haba moja basi roho intulie kasinde

Mweeh, na wewe unataka kamojaa tuu...

Usijali ngoja mwezi wa kenda ufike na upite.
 
Chadema kwenye propaganda ni vilema, ila pia intelijensia yao ni kiwete kabisa mwisho tamaa yao ndiyo kabuli lao.

Sent using Jamii Forums mobile app

Aiseeeh sas kama ndivyo, si watulie wajifunze namna ya kuenenda, maana kwa mtizamo walikuwa na nguvu kubwa sana ya uma, ila kwa jinsi picha zinavyoendelea wanapoteza nguvu ya uma hatimaye watakufa kifo cha mende... ndembendembe japo siwaombei hivyo najikuta nawaza kwa maneno na siko upande wowote wa siasa.
 
Umesema urudi kwenye kada yako yamahaba af mwishoni unatuonya tusigusane. Are you serious? maha gani bila kugusana?

Aahahahahahaaa Mahaba ya kugusana kikorona yaani tunagusana umbali wa mita moja hivi, pata picha denda lake linakuwaje aahahahahahahahahahaaaa

Kuna jamaa mmoja aliweka picha ni mwendo wa kujifunika na ndoo na mikono inakuwa kwenye maji halafu huko kwingine hakusababishi maambukizo hivyo baiskeli inanyongwa kama kawaida eeheheheheheheee

K' Matata.
 
Mwe! Babu yangu shababi atanizidi kete huunganishwi hata kwa kamba ya buibui! Huko ni sawa na kukuuza malaika.. nami utayari huo niutolee wapi..?
Labda utayari wa kumtoa mtu chongo ama kumfanya TOINYO.
 


Basi asante, nimeelewa. Shukria babujii.

Demokrasia Chadema imeshindikana akatoka akisema hatojiunga na chama chochote, kweli tangu Disemba hadi mwezi huu wa tatu ndo anasema juhudi zake za kutaka kurudi CCM zimekubaliwa...je nia hiari yake au amelazimishwa?? Kapicha flani hivii kasiko na amsha amsha sanaa.

Alamsiki.
 
CDM Ina nguvu kubwa kuliko unavodhania wewe Dada

Sent using Jamii Forums mobile app

Niliiona hiyo nguvu kipindi cha uchaguzi wa mwaka 2015 na kipindi cha kutaka kufanya maandamano ya UKUTA.... Ungozi uliokuwa madarakani ulipambana kisawasawa hadi tusiofatilia siasa tukaona kweli nguvu ya uvutano ni kubwa.
 
Mwe! Babu yangu shababi atanizidi kete huunganishwi hata kwa kamba ya buibui! Huko ni sawa na kukuuza malaika.. nami utayari huo niutolee wapi..?
Labda utayari wa kumtoa mtu chongo ama kumfanya TOINYO.

Sasa babu yako akielewana na bibi kigagula Kasie kuna madhara??!!1 huoni utakuwa kwenye nafasi nzuri ya kudeka kwa bibi yako wa kambo bila hofu na kwa uhuru wotee?? aahahahahahahhaaaaaa!!!
 
Naona siasa n mchezo ambao ukiuingia unashindwa kuacha, hua nashindwa kuelewa kwann wazee kama wale ambao washakua na nyadhifa kubwa wanajidharirisha? Nawaza tu ukiona umezinguliwa chama chako kaa nyumban fanya mambo mengine pamoja na kulea wajukuu.
Alitumwa kuiokoa Chichiemu
 
Aysee... bt inakuwa haina amsha amsha. Utamu ni pale ushirikiano unapokuwa full! Kila kiungo kifanye kazi yake. Tujiachie tu, sisi blacks hatuna shida ni mafua km mafua mengine.
 
Sasa babu yako akielewana na bibi kigagula Kasie kuna madhara??!!1 huoni utakuwa kwenye nafasi nzuri ya kudeka kwa bibi yako wa kambo bila hofu na kwa uhuru wotee?? aahahahahahahhaaaaaa!!!
Haya majibu yako natamani hata kukuuma! Ombi lako ni batili ndugu mteja tazama vyema ombi lako kabla mhusika hajakutoa mapengo nakadharika!!.

Nakuambia babu yangu shababi nimekutajia tu wamng'ang'ania! Ukiongea nae utakuwa huna nafasi ya kusema no!! Huu mjadala naufunga utaniuzi nimeze simu bure..
 
Kwa nini isiwe Chadema ndio waliwatumia hawa wazee kujijenga na kunufaika kisiasa na walipopata walichokitaka wakawaona ni "ganda la muwa la jana..."
 
Chadema/ upinzani huwa ni mawazo yaliyo ndani ya mioyo ya wananchi juu ya kutoridhika hasa na mfumo wa utawala ktk nchi kwa mfano wanachi hawaitaki hii katiba ya sasa kwani inamapungufu mengi haiendani na hali ya sasa ya ulimwengu hivyo hata kama mbowe atajiunga ccm bado hakuta jibu la kitendawili cha mahitaji ya wananchi hakuna mamluki wa kuibomoa chadema au upinzani kwa sasa mda umewaacha
 
Wote waliohama ccm na kwenda chadema mamvi na mr zero waliamua kwautashi wao tena kwa dhati nakuhakikishia kama tanzania ingeendelea kuwa na siasa za kistaarabu kidogo kama zamani hawa wazee wasingerudi ccm kamwe ila kilichowarudisha ccm ni siasa chafu za kukomoana kutekana kufungana yaani matumizi mabaya ya dola kwa upinzani hicho tu hakuna cjui cha kutumwa kukiboa chadema ni mawazo yangu tu
 
Nimeelewa kwa nini vijana wanapotezana juu yako.

Ni mtam...tam aisieee 'kasie'.

Nawaza tu simulizi hizi zipoje pale kitandani, si ndio komesha! Aaah, basi hayo tuyaache. Hapa ni siasa tuu, kama Kazi Tuu!
 
Kwa nini isiwe Chadema ndio waliwatumia hawa wazee kujijenga na kunufaika kisiasa na walipopata walichokitaka wakawaona ni "ganda la muwa la jana..."

Yawezekana pia....

Japo kupitia maelezo ya baba Sumaye yaonesha kuna changamoto CDM, labda baba Mbowe nae aweke neno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…