Nimeshikwa live

Dohhhh...

Nilikua sijauona huu uzi aiseeee....
Umenifanya nimecheka kwa sauti
 
mmmmh,na hiki nacho ni kiswahili eeh? mungu ibariki Tanzania..........
 
nimecheka sana,

profo leo anakubamba tene venye ni studee wake lazima akuvute shati akupeleke mpaka colee.
 
Kuna mtu kaelewa hapa?
 
Duh nyang'au katika ubora wake, haya mpaka sasa hawajafika kwa room yako mazee!?
 
prof venyee anakubamba ukogo stuborn ni lazma akurtie chalii
 
Maneno tata.
-keja.
-mbochi.
-ameninoki.
-nikamtobokea.
-akani-njaro.
-tenje.
-kenye.
-ngiri nane.
 
Maneno tata.
-keja. - House
-mbochi. - House help
-ameninoki. - Fall in love
-nikamtoboke. - Make love
-akani-njaro. - Akamwambia
-tenje. - Phone
-kenye. - How
-ngiri nane. - Eight Thousand
 
Hata kama sijui hii sheng ya Nairobi sijui...
Ila pale ulipoandika Mistubishi lazima ilikuwa Mitsubishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…