Mjamaa masalia
JF-Expert Member
- Nov 9, 2012
- 373
- 354
Ndugu wana JF (Jukwaa la Elimu)
Nawashukuru sana wale wote ambao walinipa taarifa juu ya wilaya hii ya Tunduru. Nawashukuru sana nimeshawasili hapa nashuhudia fahari mbakimbali zilizopo hapa kama vile:
NB
Sasa nasubiri siku ya jumanne ifike nijue nitapangiwa wapi
Walimu wenzangu ambao mmepangiwa vituo mbalimbali ni vyema mkaenda kuripoti kwanza mshuhudie hali halisi wenyewe, kuna habari za upotoshaji sana, zinazotolewa na watu ambao hawajafika maeneo husika,mf Kuna mtu aliniambia hapa Tunduru kuna simba wanatembea mchana, mpaka jioni hii nimewatafuta sijawaona

- umeme wa uhakika kwa hapa mjini
- mitandao ya simu inashika(hadi JF ipo)
- chakula ni bei rahisi sana ( wali nyama tsh 1000)
- kuku wa kienyeji wanapatika kwa wingi ( supu pia ipo)
- Maduka ya kununua madini yapo kwa wingi sana
- biashara ya korosho imeshamili