miss naire
JF-Expert Member
- Oct 31, 2016
- 237
- 228
asante kwa kunitia moyoamina
tujaribu tu ndg labda wamebadilika kwa sasa kutokana na hii tumbua tumbuaYeah ila hao jamaa ubaguzi mwanzo mwisho, ingawa nami ntatest zari
santeeekila la kheri, ukipata kazi uje unipe hata elfu 10 maana nakuombea hapa.
ubaguzi meaning??Yeah ila hao jamaa ubaguzi mwanzo mwisho, ingawa nami ntatest zari
Kwani wamjua nani paleubaguzi meaning??
ki kabila au elimu??
mmmmhhh, mm wala siyo hyowote mmekimbilia stores cum administrative officer...hakuna wakemia humu
Kwanini unaamini kwenye kua shortlisted badala ya kushinda interview?habarini za kwenu, natumai mu wazima woote, kama nilivyo wahi kusema hapo nyumba kuwa kiu na nia yangu ni kufanya kazi utumishi wa umma, sasa katika nafasi za kazi walizo tangaza ewura, kuna nafasi moja nimeona inaendana na mm, na sifa wanazo zitafuta ninazo, nimeamua kutuma maombi, kwa njia ya email na posta. Naomba Mungu niwe shortlisted
Jamani hivi sisi ambao hatuna uzoefu mnanishaurije niombe au niache tu maana wanataka uzoefu 2 years
sio kweliYeah ila hao jamaa ubaguzi mwanzo mwisho, ingawa nami ntatest zari
wote mmekimbilia stores cum administrative officer...hakuna wakemia humu