Nimeshangazwa!

Shanga kweny mkuyenge au sijaelewa vzuri.
Na mkuyenge ukizama ukatoka bila shanga si balaa hilo
 
NATABIRI.......
nyuzi za hiv zinakuwaga na wachangiaji wengi kulko hata mada za kujenga Taifa..wao vijana wa hovyo wanaita mada pendwa[emoji23][emoji23]..anyway wasije kunishambulia naharibu thirediiii[emoji23][emoji23]..anyway kumbe watu mmeshakulana na bado mwaka hata haujachanganya vizuri???
 
Si ungemuuliza!? Unataka tumjibie!!!???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…