NTEGEYE Jr
JF-Expert Member
- Nov 12, 2016
- 322
- 286
Mzee mwinyi Katia aibu wenzake. Eti jpm mwaka 1 sawa na 30 haya maajabu.Katika ziara yake Mzee Mwinyi kumtembelea rais leo baada ya mwaka mmoja, nimeshangaa sana baada ya Mzee ruksa huyu kummwagia sifa rais nyingi mno.
Mshangao wangu ulizidi pale aliposema kuwa rais Magufuri amefanya kazi kubwa kwa mwaka mmoja zaidi ya kazi walioifanya wao kwa miaka 30 yaani Mwinyi, Mpaka na Kikwete.
Hapo ndio nikahisi maji (mahaba) yamezidi unga maana sio sifa za kawaida labda kauli hiyo iwe na maana nyingine kinyume chake.
Kazi ya mwaka 1 = miaka 30? mmmh..!!
Mkuu umenena vema..Kwanza kazi alioifanya jpm kwa mwaka 1 haiwezi kulingana na miaka 30 ya maraisi 3, akiwemo yeye mzee mwinyi, sijui jpm alijisikiaje kuambiwa hivo!? Lakini mzee mwinyi ni mswahili na anajua kuzitumia nahau za kiswahili, kwa hawa wenzangu na mimi (wasukuma) kumwelewa ni shida sana, anajua wanapendaga sifa nae anapitia humohumo"
Katika ziara yake Mzee Mwinyi kumtembelea rais leo baada ya mwaka mmoja, nimeshangaa sana baada ya Mzee ruksa huyu kummwagia sifa rais nyingi mno.
Mshangao wangu ulizidi pale aliposema kuwa rais Magufuri amefanya kazi kubwa kwa mwaka mmoja zaidi ya kazi walioifanya wao kwa miaka 30 yaani Mwinyi, Mpaka na Kikwete.
Hapo ndio nikahisi maji (mahaba) yamezidi unga maana sio sifa za kawaida labda kauli hiyo iwe na maana nyingine kinyume chake.
Kazi ya mwaka 1 = miaka 30? mmmh..!!
Siku hizi wanaitaga mahabartiti, mzee ruksa kwa vijineno (M.Mungu amjaalie maisha mema)Hayo yanaitwa Mahaba Tasilimu au ana Haiba ya mahaba
Wewe nae....!!! Mzee mwinyi ni tajiri? Huo utajiri unamlinganisha na nani? Nyerere, mkapa au kikwete?Hakutaka tu kusema kuwa anayoyafanya JPM wao walishindwa na waliishia kujitajirisha tu.
Mimi nalia na mafundi wa nguo wa ta pombe, hivi huwa anatuma msaidizi wake kupima au? check mikono na mabega. Please reception matters when it comes to our presider.View attachment 438646
Rais Magufuli amefanya mkubwa bila kumuogopa yoyote yule,kitu ambacho toka Mwl hakuna aliyeweza kufanya hivyo na hiyo ndiyo maana yake
Na hasa kuongea ukweli na kuweka wazi na kuufanyia kazi instantly.