NIMESHAKATA TAMAA NA HII SYSTEM YA TCU

Jul 14, 2018
36
7
Mpaka sasa sijatumiwa code na vyuo vyote nilivyoomba majina wamesha toa hivi niombe tena au niombe vya private tu na wakati huo huo wenye 3 wamepata vyuo huku wenye 2 wakiwa wanaangaika na vyuo tu jamani naombeni msaada nifanye nini me
 
CODE WANATUMIWA WALE WALIOPATA CHUO ZAIDI YA KIMOJA SO JE WEWE NI MMOJA WAPO WA MULTIPLE?
 
Mpaka sasa sijatumiwa code na vyuo vyote nilivyoomba majina wamesha toa hivi niombe tena au niombe vya private tu na wakati huo huo wenye 3 wamepata vyuo huku wenye 2 wakiwa wanaangaika na vyuo tu jamani naombeni msaada nifanye nini me
Hahahhaha!nimecheka sana kijana yani unakata tamaa kwakutotumiwa code?upo serious kweli?eti uombe chuo cha private kisa umekosa code uanafikili tcu wapo kwa ajili ya kucheza pale kama unavyofikilia nn?unapo patwa na shida jaribu kuomba ushauli nn ufanye sio kukimbilia kukata tamaa,apo hujaenda chuo sasa je ukifiachuo ukakutana na changamoto za huko siutaomba uludi kwenu sasa?
Sikia sasa piga simu kwenye chuo unachoitaji kwenda kati ya ivo ulivyochaguliwa then watakusaidia ku confirm.sio kukata kata tamaa kizembe kijana.
 
Mpaka sasa sijatumiwa code na vyuo vyote nilivyoomba majina wamesha toa hivi niombe tena au niombe vya private tu na wakati huo huo wenye 3 wamepata vyuo huku wenye 2 wakiwa wanaangaika na vyuo tu jamani naombeni msaada nifanye nini me
Angalia hapo kijana inaweza kukupa muongozo kidogo
Screenshot_2018-09-06-17-53-57.jpg
 
tcu waache usumbufu. wale wenye multiple admission waachwe waende wakajisajiri vyuo wavipendavyo. tcu wasubiri majina ya walioripoti chuoni ili wayatume loan board. hayo mengine ni mbwembwe....
 
Wakubali kushindwa, tumebaki wachache tusio na codes, watuache tukaripoti then vyuo husika vitaleta majina kwao hao TCU
 
tcu waache usumbufu. wale wenye multiple admission waachwe waende wakajisajiri vyuo wavipendavyo. tcu wasubiri majina ya walioripoti chuoni ili wayatume loan board. hayo mengine ni mbwembwe....
Shida ipo kwenye mkopo sasa watajuwaje wanafunzi yupo chuo gani ili allocation yake ijulikanwe inaenda chuo gan?
 
tcu waache usumbufu. wale wenye multiple admission waachwe waende wakajisajiri vyuo wavipendavyo. tcu wasubiri majina ya walioripoti chuoni ili wayatume loan board. hayo mengine ni mbwembwe....
Ukikosa mkopo usilalamike
 
Back
Top Bottom