Mdanganywa
JF-Expert Member
- Jun 15, 2009
- 620
- 342
Jamani,
Mimi nime-renew Motor Vehicle license yangu wiki moja kabla ya bajeti kusomwa, tena ni shs. 230,000/=.
Sasa bajeti imesomwa nasikia kwamba kuanzia July 01, 2017 hazitafanya kazi. Maana yake nimeingia hasara.
Je, nitarudishiwa hela yagu nikienda TRA.
Nasema ni hasara kwa sababu wengi ambao renewals zao ni mwezi huu bada ya kusikia bajeti wako radhi kuweka magari nyumbani hadi July 01.
Mimi nilikata kwa sababu tu expiry ilikuwa wiki moja kabla ya bajeti.
Saidia kupata jibu na haki yangu.