Nimeshajichanganya

Wakuperuzi

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2023
Posts
2,844
Reaction score
6,703
Nahisi km nimeharibu hpa maana baada ya kunitumia msg ya kwnza nikamjibu "sawa usijali" ila msg haikuwa delivered ila imekuja kuwa delivered baada ya yy kutuma msg ya pili, toka hpo nimeharibu kutuma msg zaidi ya tatu sijajibiwa.
 
Sms ya kawaida sana mbona?

Akikuuliza hiyo 'sawa usijali' ulikuwa unamtumia nani? Muambie wewe. Ulikuwa unaridhia ratiba yake kubadilika.
 
Nimeshajichanganya ahaa, dogo utakuwa under 20, did you even fvck her?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…