Nimesamehe lakini sitasahau

Mi ni mchungaji
Sasa Baba Mchungaji kweli ulikosa wanawake kanisani kwako mpaka uje utafute majanga mtandaoni? Alafu neno la Mungu linasemaje kuhusu kupata mke? hv kweli hata ulipiga goti kumuomba Mungu akupe mke? Mchungaji unafanya maamuzi nyeti kwa kutumia akili yako na moyo wako wa kibinadam wakati unajua kabisa shetani ana vita na nyie ya 24/7? mchungaji umeniangusha kwa kweli
 
Ijapokuwa si rafiki sana kwa lugha yako uliyotumia Lakini naunga mkono mawazo yako pia tusimwite jamaa mpumbavu.

We have different paths in life, his might be different from ours
 
[emoji117]Et leo naenda kwa mwanaume usinitext??

MAMAEE KABISAA, HUONI HUYO ALITAKA KUKUUA ?? HUONI HAJALI UFANISI WA KAZI ZAKO??

MANINAA KABISAAA WEE, MALAYA MMOJA ASOJITAMBUA, UMEMUOKOTA HUMU NA KESHAZALISHWA , NDIO ANAKUENDESHA KAMA MJINGA????
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hawa watu wanakosa elimu ya Mtaani
 
Mkuu hakuna limbwata huyu jamaa amekosa
Elimu ya mtaani Tu, there's no such thing limbwata
 
Mwanamke yeyote na popote pale anapokutana na mwanamme lazima respect iwepo baharia amekwama sana ipo siku huyo Malaya wake atakuja mpiga madole mkuuunduni mwanamke niwakukaziwa sio kuleta huruma hata kidogo
 
Tuliza Mpira Wewe
Umeachana Hakuna Kutoa Kumi Nyekundu Wala Nyeusi
Akaote Moto Na Aliookota Nao Kuni Huko Huko

Kumbe Wakina Bushoke Wapo Nchi Ngumu Sana
Yaani Ulifanyiwa Hayo Na Mke
Wengine Hawala Tu Mkiachana Halambi Mia Mbovu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…