TZ yetu JF-Expert Member Joined Apr 13, 2012 Posts 375 Reaction score 198 Apr 30, 2013 #1 Mara ya mwisho kutongoza nilikuwa kidato cha pili miaka hiyooooooo baada ya hapo nilikuwa napendwa tu! kwa sasa nataka kutongoza mwenyewe.:twitch:
Mara ya mwisho kutongoza nilikuwa kidato cha pili miaka hiyooooooo baada ya hapo nilikuwa napendwa tu! kwa sasa nataka kutongoza mwenyewe.:twitch:
mzurimie JF-Expert Member Joined Oct 16, 2011 Posts 6,143 Reaction score 3,629 Apr 30, 2013 #2 Mmh basi inamaanisha mengi hauna uujuzi nayo... Yaani sura aiendani na mengine kwa nini hao hawajakung'ang'ania hadi unataka tafuta bado?
Mmh basi inamaanisha mengi hauna uujuzi nayo... Yaani sura aiendani na mengine kwa nini hao hawajakung'ang'ania hadi unataka tafuta bado?