Pole mkuuHabari wakuu.
Moja kwa moja kwenye mada, jumapili iliyopita ya tarehe 05/06/2022 mida kama ya saa 1 usiku kuelekea saa mbili nikiwa natoka Dar kwenda Morogoro ndani ya bus mali ya kampuni ya Frester nikaamua kushukia chalinze na kusahau begi langu lenye computer na vitu vingine. Nikatafuta usafiri mwingine kwenda moro ili kufatilia begi langu lakini mpaka nafika moro
Nuksi huanzia kwenye mambo kama hayaNikapata wazo la kwenda Polis, nikaja na Polis wa kike na dereva akafungua mlango tukaingia ndani kukagua, kweli hakukuwa na begi ila mkoba tu wa kike uliosahaulika pamoja na demu wa dereva kumbe walilala humo.
angepiga simu mapema ingesaidia sana...!! ila kwenda na abiria washashuka hapo ni ngumu mno na alielibeba amedhamiria kuliibaKwanini uliposhuka tu chalinze na kugundua umesahau begi hukufanya taratibu ya kuwasiliana na wakala wa frester hapo chalinze akupe mawasiliano ya hilo basi lao lililoelekea Morogoro wakuangalizie begi lako? Pole huna wa kumlaumu ila ww mwenyewe
Huyo aliachia mzigo ujichungeKila basi lina tangazo kwamba " Abilia chunga mzigo wako"