Village-in
JF-Expert Member
- Aug 30, 2022
- 2,416
- 5,009
Kwa hiyo huyu ni muongo. Hana cha kuandika. Anazusha tu hapa yasiyo na ukweli?. Ila awe na kiasi kujizushia tu ukichaa si muda anaweza kuwa kichaa kweli. Hizo pole za watu,wengine wanatoa pole kutoka moyoni kabisa,yaani ile pole ya na yeye kupata pain fulani. Sasa hizo pole za namna hiyo MUNGU anazihesabia fungu lake. Cheza na mambo mengine,hata kama huna kitu,usichezee sehemu za watu aina mbalimbali kama hiziJana uliibiwa milioni tano kule stendi ya Magufuli ukiwa mzima wa afya
Leo umeruhusiwa kutoka Mirembe Hospital...
Dah JF ina visanga
View attachment 2794253Nimeibiwa milioni 5 Stendi ya Mabasi ya Magufuli
Sijui ni karma au ni nini mpaka sasa wala sijui nifanyeje daaah nashindwa sijui nifanyeje wakuu na hapa ninapoandika navuja machozi nipo kwenye gari langu nimepaki nalia mwenyewe wakuu. Nilifika na gari langu dogo aina ya Toyota crown athelete(namba za usajili kapuni) nilikuwa namsindikiza wife...www.jamiiforums.com
Itakua alisahau kumeza dawa.Kwahiyo ile million 5 uliibiwa ukiwa mirembe? 😄😄😄
Inawezekana bado hajapona vizuri. Tuendelee kumwombea heri apone kabisa.Jana uliibiwa milioni tano kule stendi ya Magufuli ukiwa mzima wa afya
Leo umeruhusiwa kutoka Mirembe Hospital...
Dah JF ina visanga
View attachment 2794253Nimeibiwa milioni 5 Stendi ya Mabasi ya Magufuli
Sijui ni karma au ni nini mpaka sasa wala sijui nifanyeje daaah nashindwa sijui nifanyeje wakuu na hapa ninapoandika navuja machozi nipo kwenye gari langu nimepaki nalia mwenyewe wakuu. Nilifika na gari langu dogo aina ya Toyota crown athelete(namba za usajili kapuni) nilikuwa namsindikiza wife...www.jamiiforums.com
Naunga mkono hoja..🤗Duh aiseee
Nmecheka aiseeJana uliibiwa milioni tano kule stendi ya Magufuli ukiwa mzima wa afya
Leo umeruhusiwa kutoka Mirembe Hospital...
Dah JF ina visanga
View attachment 2794253Nimeibiwa milioni 5 Stendi ya Mabasi ya Magufuli
Sijui ni karma au ni nini mpaka sasa wala sijui nifanyeje daaah nashindwa sijui nifanyeje wakuu na hapa ninapoandika navuja machozi nipo kwenye gari langu nimepaki nalia mwenyewe wakuu. Nilifika na gari langu dogo aina ya Toyota crown athelete(namba za usajili kapuni) nilikuwa namsindikiza wife...www.jamiiforums.com
pole sana,ata mimi nilishawai kupata nikawa nachukua dawa amana!! inatisha,unakuwa na hali ya hofu bila sababu,kuna siku nilisafiri nikalala loji moja moro kuna baa hapo mahali,,nikanya bia za kutosha,nikaenda kulala,ghafla nikaamka{nilifikiri niko home manake naishi peke yangu,watoto wapo boading na wife tulishatengana},,sasa nikatoka mpaka nje nikiwa kama nyoka alivo{yaani empty},,,,,ile natoka nje nikastuka mbona wa2 wengi???....ndo akaja mdada wa mapokezi na mlinzi wakanishika mkono wakanirudisha chumbani yule mdada nilimkula!!!!!,,,aliambiwa kaaa nae umlinde inaelekea kalewa sana!!Nashukuru sana watu waliojitahidi kuwa na mie bega kwa bega wakati napata matibabu ya ugonjwa wa akili pale Hospital ya Magonjwa ya Akili Milembe, nikiwa nasumbuliwa na ugonjwa wa Bipolar Disorder. Ama kweli nimeweza kuhudumiwa vizuri na sasa nipo vizuri na naendelea poa.
Nilikuwa napata mood swing na dalili zingine za hovyo hovyo. Aisee asikuambie mtu magonjwa ya akili sio poa kabisa wakuu, ila bila kufungwa kamba siku ile sijui ingekuwaje! Ila nashukuru kushituka tu nipo Hospitali ya Milembe.
Na pale nimeweza kupewa dawa nyingi tu za kutosha, nashukuru niko poa kabisa.
Wewe lijamaa ni liongo sana [emoji3][emoji3]pole sana,ata mimi nilishawai kupata nikawa nachukua dawa amana!! inatisha,unakuwa na hali ya hofu bila sababu,kuna siku nilisafiri nikalala loji moja moro kuna baa hapo mahali,,nikanya bia za kutosha,nikaenda kulala,ghafla nikaamka{nilifikiri niko home manake naishi peke yangu,watoto wapo boading na wife tulishatengana},,sasa nikatoka mpaka nje nikiwa kama nyoka alivo{yaani empty},,,,,ile natoka nje nikastuka mbona wa2 wengi???....ndo akaja mdada wa mapokezi na mlinzi wakanishika mkono wakanirudisha chumbani yule mdada nilimkula!!!!!,,,aliambiwa kaaa nae umlinde inaelekea kalewa sana!!
Pole mkuuNashukuru sana watu waliojitahidi kuwa na mie bega kwa bega wakati napata matibabu ya ugonjwa wa akili pale Hospital ya Magonjwa ya Akili Milembe, nikiwa nasumbuliwa na ugonjwa wa Bipolar Disorder. Ama kweli nimeweza kuhudumiwa vizuri na sasa nipo vizuri na naendelea poa.
Nilikuwa napata mood swing na dalili zingine za hovyo hovyo. Aisee asikuambie mtu magonjwa ya akili sio poa kabisa wakuu, ila bila kufungwa kamba siku ile sijui ingekuwaje! Ila nashukuru kushituka tu nipo Hospitali ya Milembe.
Na pale nimeweza kupewa dawa nyingi tu za kutosha, nashukuru niko poa kabisa.
Huna lolote. Hiyo ilikuwa mbinu ya kumla mhudumu kimasiharapole sana,ata mimi nilishawai kupata nikawa nachukua dawa amana!! inatisha,unakuwa na hali ya hofu bila sababu,kuna siku nilisafiri nikalala loji moja moro kuna baa hapo mahali,,nikanya bia za kutosha,nikaenda kulala,ghafla nikaamka{nilifikiri niko home manake naishi peke yangu,watoto wapo boading na wife tulishatengana},,sasa nikatoka mpaka nje nikiwa kama nyoka alivo{yaani empty},,,,,ile natoka nje nikastuka mbona wa2 wengi???....ndo akaja mdada wa mapokezi na mlinzi wakanishika mkono wakanirudisha chumbani yule mdada nilimkula!!!!!,,,aliambiwa kaaa nae umlinde inaelekea kalewa sana!!
Kwann wamekurhusu kurud mtaaniNashukuru sana watu waliojitahidi kuwa na mie bega kwa bega wakati napata matibabu ya ugonjwa wa akili pale Hospital ya Magonjwa ya Akili Milembe, nikiwa nasumbuliwa na ugonjwa wa Bipolar Disorder. Ama kweli nimeweza kuhudumiwa vizuri na sasa nipo vizuri na naendelea poa.
Nilikuwa napata mood swing na dalili zingine za hovyo hovyo. Aisee asikuambie mtu magonjwa ya akili sio poa kabisa wakuu, ila bila kufungwa kamba siku ile sijui ingekuwaje! Ila nashukuru kushituka tu nipo Hospitali ya Milembe.
Na pale nimeweza kupewa dawa nyingi tu za kutosha, nashukuru niko poa kabisa.
wacha bwana!!!!...kalikuwa katamu kama wali na mbilimbilimbi!!Huna lolote. Hiyo ilikuwa mbinu ya kumla mhudumu kimasihara
true rastaWewe lijamaa ni liongo sana [emoji3][emoji3]
Yaani hayo alindika akiwa hospital,ila alihisi yupo Msamvu....nashauri apewe muda wa zaidi hapo hospitalJana uliibiwa milioni tano kule stendi ya Magufuli ukiwa mzima wa afya
Leo umeruhusiwa kutoka Mirembe Hospital...
Dah JF ina visanga
View attachment 2794253Nimeibiwa milioni 5 Stendi ya Mabasi ya Magufuli
Sijui ni karma au ni nini mpaka sasa wala sijui nifanyeje daaah nashindwa sijui nifanyeje wakuu na hapa ninapoandika navuja machozi nipo kwenye gari langu nimepaki nalia mwenyewe wakuu. Nilifika na gari langu dogo aina ya Toyota crown athelete(namba za usajili kapuni) nilikuwa namsindikiza wife...www.jamiiforums.com
Halafu akikutafuta kukuambia kapoteza siku zake utasingizia Bipolar?wacha bwana!!!!...kalikuwa katamu kama wali na mbilimbilimbi!!
Toka lini ugonjwa wa akili ni ukichaa? Hovyo kabisa mjinga mkubwa wweKwa hiyo huyu ni muongo. Hana cha kuandika. Anazusha tu hapa yasiyo na ukweli?. Ila awe na kiasi kujizushia tu ukichaa si muda anaweza kuwa kichaa kweli. Hizo pole za watu,wengine wanatoa pole kutoka moyoni kabisa,yaani ile pole ya na yeye kupata pain fulani. Sasa hizo pole za namna hiyo MUNGU anazihesabia fungu lake. Cheza na mambo mengine,hata kama huna kitu,usichezee sehemu za watu aina mbalimbali kama hizi
Waliokuruhusu kutoka wachukuliwe hatua mgonjwa kama wewe ulitakiwa uendelee kuwa chini ya uangalizi, maana Jana tu umeibiwa million3 Mbezi alafu Leo umeruhusiwa kutoka milembeNashukuru sana watu waliojitahidi kuwa na mie bega kwa bega wakati napata matibabu ya ugonjwa wa akili pale Hospital ya Magonjwa ya Akili Milembe, nikiwa nasumbuliwa na ugonjwa wa Bipolar Disorder. Ama kweli nimeweza kuhudumiwa vizuri na sasa nipo vizuri na naendelea poa.
Nilikuwa napata mood swing na dalili zingine za hovyo hovyo. Aisee asikuambie mtu magonjwa ya akili sio poa kabisa wakuu, ila bila kufungwa kamba siku ile sijui ingekuwaje! Ila nashukuru kushituka tu nipo Hospitali ya Milembe.
Na pale nimeweza kupewa dawa nyingi tu za kutosha, nashukuru niko poa kabisa.
OkToka lini ugonjwa wa akili ni ukichaa? Hovyo kabisa mjinga mkubwa wwe