Nimerudishwa kazini baada ya miezi 6

[emoji3064][emoji3064][emoji3][emoji3]

Mzee tupo wote kwenye Data nn


Hiyo force account, sikuhz wanaaita busti nazo
🤣😂😂🤣🤣😂😂Hatari Ina Moto Sana Ikitokea Imekwama Shingoni Ujue
Lazima Useme Kama Konde Boy "Msalaba Wako "
 
Baraza la madiwani ni noma....unakuta baraza zima lina madiwani wameishia darasa la saba tu wameupata udiwani sababu ya ukada wa chama, hawajui lolote zaidi ya siasa chafu sasa hao wakutane na mtaalam utajuta kupata kazi au kusoma
 
Hawa ni kichefu chefu mkuu, nmepata nao shida , hasa hawa waliongia kwa nguvu ya alietutangulia sio poa
Baraza la madiwani ni noma....unakuta baraza zima lina madiwani wameishia darasa la saba tu wameupata udiwani sababu ya ukada wa chama, hawajui lolote zaidi ya siasa chafu
 
✍️Pole kwa kusimamishwa kazi, na pia hongera kwa kurejeshwa kazini 😇
 
Muhimu Hakuna rfk kazini ,chapati kazi nenda kwako hata ikiwezekana kazini kwako wasijue unakoishi Wala kuwaalika ktk sherehe au msiba nzuri sna hyo

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Kiukwel mengi niliyakosea mwanzon katk kuish na hv viumbe ila nitahama mkoa na nitaishi hvyoo.
Muhimu Hakuna rfk kazini ,chapati kazi nenda kwako hata ikiwezekana kazini kwako wasijue unakoishi Wala kuwaalika ktk sherehe au msiba nzuri sna hyo

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…