Nimerudishwa kazini baada ya miezi 6

Mkuu kwa sisi wazoefu tunaamini haujarudishwa kazini officially hapo.

Umerejeshwa kimagumashi ili utekeleze majukumu fulani ukiwa katika suspention bila ya wewe kujua.

Kwa sura hii, kazi yako hiyo ama taaluma yako wamekwama kuifanya kama wao na kutakuwa na hasara wanaipata kwa kutokuwepo kwako!

Ukilambwa suspention huwa kuna jambo linafanyika nyuma yako wakati haupo kukuchunguza kuona tuhuma zinazokukabili kama zina ukweli, kama zina ukweli, vielelezo hukusanywa na mashitaka huandaliwa.

Hatua hizo huwa ndiyo kilele cha suspention husika.

Baada ya kuingia mahakamani ukashinda ama ukaadhibiwa, basi suspention yako huondolewa.

Kama ukishinda, kazini unarejeshwa pamoja na kulipwa mapunjo ya pesa zako za mishahara uliyokuwa ukikatwa.

Ukipatikana na hatia, hizo nusu mishahara za malimbikizo huwaga "kantolee".

Sasa jambo la kwako lina sura ya kibabaishaji sana.

Sielewi upo idara gani ningekushauri ngazi za kufuatilia ili kuelewa uhalali wa suspention yako pamoja na hatima yako.

Maana hauwezi kurejeshwa kazini ukaendelea kulipwa nusu mshahara!

Wao wamekupatia maelezo gani ya ziada hadi ukaridhika kulipwa nusu mshahara na suspention ishaondolewa?
 
Wao wamedai wamenikuta na Hatia na adhabu yake ni hiyo (miez ya nyum nilikuw nalipw nus nayo imejumuishwa ndan ya adhabu )
 
Motivational speaker,
Sheria ya kupokea nusu mshahara ilishafutwa siku nyingi,we uko nchi gani
 
MNAWEZ ONA KAMA KUNA MAPUNGUFU KATIKA MAAMUZ ILA MKATABA WA KAZI NILIOSAINI NAO UMEWAPA MWAYA HUO

HAPA NAWAZA MENGINE KWAKUW BOSS NI BOSS NI MIMI NIJIONGEZE TUU NA MENGINE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…