Nimerudi

samua

JF-Expert Member
Jul 18, 2016
1,030
704
Hali zenu wanajf......habari za eid????
Najua mtanishangaa sana lkn nimeshindwa kustahamili kuachana na jf nimeamua nirudi kijiweni.
Ruhusa kunichamba kunitukana kunishushua yote nayakubali kwasbb naipenda jf .
 
Umerudi na nini kipya.......kama umerudi mikono mitupu rudi hukohuko ulikokuwa....
 
Hali zenu wanajf......habari za eid????
Najua mtanishangaa sana lkn nimeshindwa kustahamili kuachana na jf nimeamua nirudi kijiweni.
Ruhusa kunichamba kunitukana kunishushua yote nayakubali kwasbb naipenda jf .
Una id ngapi ?
 
Back
Top Bottom