zaratustra
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 848
- 225
Unatafuta ban nyingine wewe,yani unataka kuanzisha nao ligi?Kwa takribani siku kumi, nilifungiwa kuingia JF, eti kwa sababu nilitumia neno ................ naogopa kulitaja nisije nikapigwa tena ban (ila ni jina la pili la Didas!) ! Mods sijui kwa nini mlitafsiri vibaya, mimi naamini lile halikuwa tusi, bali ni neno la KUSHEREHESHA TU! Unless kama mtaniambia tafsiri yenu ya hilo NENO ni nini!
sijui nimchokoze tena apingwe ban hahahahahahWe ulimtaja Meya hovyo hovyo? Pole kwa ban and welcome back.
Kwa takribani siku kumi, nilifungiwa kuingia JF, eti kwa sababu nilitumia neno ................ naogopa kulitaja nisije nikapigwa tena ban (ila ni jina la pili la Didas!) ! Mods sijui kwa nini mlitafsiri vibaya, mimi naamini lile halikuwa tusi, bali ni neno la KUSHEREHESHA TU! Unless kama mtaniambia tafsiri yenu ya hilo NENO ni nini!

acha noma bana nitukane kidogo bhana si kidogo tuuu kaka eeeeh naomba bhana hata yale ya rejareja jumla sitaki pleaseWakuu asanteni kwa kunikaribisha tena ndani ya JF! Ila nimesoma posts zote, yaani nimcheka pale SAMRICH1, anapotaka kunichokoza ili nipigwe ban tena! Sirudii tena kutaja jina la huyo jamaa!