nimerudi tena

Hii ni taarifa, muhtasari au???
 
^^
Msongo wa mawazo unaongea hapa.
^^
 
Ni nini, sijaelewa jamani, aliyeelewa please!
 
Kwahyo ulikuwa unatuambia kuwa uligegedana na cousin wako,laana zikakuandama,mkaachana,kwa sasa unamfikiria ex wako,unajiuliza umrudie au lah,ulikuwa jf ukapotea kwakuw ulikuwa umeoa,kwasasa unamawazo tena umerudi kujiliwaza,uliwamisi rafiki zako akna asha d umewaona,wengne bado! Hehe! Daaah! Nimesumarize wakuu!! Kazi kwelikweli!
 
Ni nini, sijaelewa jamani, aliyeelewa please!

Teh teh teh... Kwi kwi kwi.... Nilidhan mie pekeyangu ndio sijaelewa kumbe tupo wengi...

Miss u bidada upoooo?????!
 
maisha yako na fikra zako zina mkwaruzo. Pole sana.
 
Mkwaruzo hebu tupe maana nzima ya hii maana hapo ulipogegedana na cousin wako uliona madhara yake na bado unamuwaza ex wako ambaye hujui huko aliko yukoje na kama ana mtu wake au ashakwaa vikwazo vya UN hafai tena
hapa unaweza pata stress zaidi usipoangalia
 
Last edited by a moderator:
That was microphone test. Srry 4 dat coz nimetumia muda wenu muhimu. Nawashukuru kwa kunipa amsha amsha iliyo nzuri. Now nipo ktk kujiweka sawa kotokana na mabadiliko kulingana na device yangu ndogo. Bila ya kujihami, ni kweli tu nilipotea kidogo.
 

Mr Rocky, kweli ww ni great thinker. Upo sawa kimaana, na unaonekana una uwezo zaidi wa kupambanua na kukiweka kitu sawa.
Ingawaje hiyo ikuwa ni hand writting tu.
 
Last edited by a moderator:
Mr Rocky, kweli ww ni great thinker. Upo sawa kimaana, na unaonekana una uwezo zaidi wa kupambanua na kukiweka kitu sawa.
Ingawaje hiyo ikuwa ni hand writting tu.

Mkuu tupo hapa kuelimishana hata kile kidogo nilicho nacho tunashare pamoja usiwe na wasi wasi mkuu Mkwaruzo
karibu sana jamvini tupeane uzoefu wa kupambana na stress
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…