Nimerudi tena: Natafuta mke wa kufanana nami

Hizi thread zako kama za sijui Deo Kisandu
Khaaah anaboa huyo mara oh Kahama 1985 nilimeza hela mara aliliwa Tigo,mara ubondia umemsaidia sasa bondia gani analiwa Tigo amelala tu,mara baba zake sio wezi, mara sijui nini dah jamaa kero tu,afu ni mtu mzima kabisaaaa imagine 1985 anajielewa wakat wengine hata mama zetu walikua hawajavunja ungo
 
Ndugu yangu nimesoma bandiko lako nimeguswa kukusaidia. Ni PM tuzungumze mawili matatu. Ila kama unatafuta mabinti wa watu kwa nia ovu usini-Pm.

Fanya hivyo muda wowote utakaopata ujumbe huu.
 
Baada ya kukosa mke mwema sasa unatafuta unayefanana nae,kuna binti niko ne hapa mkuu yuko tayari ila ana pumu,legeza masharti kidogo uchukue chombo
 
"Asiwe na ndoto ya kujiendeleza kimasomo tena"
Hii kauli itakukosesha mke kuwa makini mkuu.
Nashukur sana Mkuu kwa mawazo yako...sina maana mbaya ninaposema "awe amemaliza kusoma" ukiisoma vzr point hyo Mkuu inajieleza!
 
Mungu atakupatia hitaji lako tatizo sisi Wadada tunaogopa kwenda pm tunaonekana Malaya na kutongoza na Kutongozwa visivyojulikana ni kama kucheza Biko na tatu mzuka
Usihof Mkuu,
Dunia imebadilika so,we have to think globally and act locally! Hakuna sababu ya kuogopa tena!
 
Mke wa kufanana naye yupo hapo hapo Staff mkuu,ila kama wote Wasukuma Eishhh una haki ya kuja huju.


Wasukuma wana maumbo complicated sana mikono tu mfano kama ya Jokeri .
Mkuu,umenichekesha sana...lakn Wasukuma ni wastaarabu sana!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom