Wilhelm Johnny
JF-Expert Member
- Jan 13, 2016
- 1,369
- 1,337
- Thread starter
- #21
Nipo Kilimanjar simu tuna tuma mikoa yote tz ukihitajiunapatikana wapi
Nipo Kilimanjar simu tuna tuma mikoa yote tz ukihitajiunapatikana wapi
ipo mkuu 500,000Sijaona 6 edge ambayo sio plus
Think i can afford to have it
zitakuepo naendelea ku update listHakuna ya laki 2 hapo??
Nitaleta bei zake subirMkuu nokia. 7, Nokia 6 unauzaje!?
Sawa sawa kiongozTuletee na screen nyingi zimevunjika J7 prime
Kuona yaani kutazama kinachoonekana ila sio kila unachokiona ukadhani kupata inawezekana..[emoji444]Fahari ya macho...................!!!!
Hahaha umenikumbusha nikiwa china nilinunua iphone 6 kwa kama tsh 300,000 hivi kuja kucheki ina playstore ya android[emoji3][emoji3], zipo mkuu tena nyingiHivi kuna iphone za kufoji
tupe location ya store yako tukuje au taja unapatikana wapSimu hizi ni mpya Full box yaani unatoa ganda mwenyewe. Kwa mawasiliano ni 0652971495
S8 Plus = 1,250,000/=
View attachment 724602
S8 = 1,170,000/=
View attachment 724603
Note 8 = 1,570,000/=
View attachment 724604
S7 Edge = 700,000/=
View attachment 724605
S7 = 550,000/=
View attachment 724606
S6 Edge Plus = 600,000/=
View attachment 724608
S6 Edge = 500,000/=
View attachment 724609
S6 = 450,000/=
View attachment 724610
Note 5 = 550,000/=
View attachment 724611
Note Edge = 530,000/=
View attachment 724612
Note 4 = 450,000/=
View attachment 724613
WAPENZI WA IPHONE NIMEKUJA NA HIZI
Iphone 6: 16gb...500,000
64gb...600,000
Iphone 6plus: 16...670,000
64...780,000
Iphone 6s: 16gb...680,000
64gb...750,000
Iphone 6s plus: 16gb..850,000
64gb...950,000
128gb...1,050,000
Iphone 7: 32gb...1,100,000
128gb...1,240,000
Iphone 7plus: 32...1,350,000
128...1,500,000
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]nikopeshe
Life is how you make it.je ni sawa kijana kumiliki simu ya 1.5 m wakati chumba anachoishi ndiyo sebule ndiyo jiko ndiyo chakulala
Yaani ukiishika tu,fake ni fake tu,wengi wameshaga tolea maelezo juu ya kuzibaini ila tatizo hata hao watengenezaji wa hizo clone nao wanatafuta namna ya kukufanya uwaamini,cha msingi ni kuziangalia spec.zake mtandaoni na kwenye simu husikasimu yangu imechoka, natamani hizo Samsung hapo ila sijui kuzitofautisha kati ya og na clone.
ndio mkuuHizo iphone ni brand new?