Kama rais nakutangazia kuwa umefutiwa dhambi zako zote.
Kwa kuwa umekiri kuwa mtu mwema, nitaongea na mwenyekiti wa mahusiano ndugu Erickb52 akufungishe ndoa na mlimbwende mmojawapo humu. (Usimzoee my love Lady doctor please)
Welcome on board.
Karibu tena Kiongozi !
Nilipoiona tu Id yako , kichwa yangu ikahamia Nairobi !
Niulize kwa nini? Refar last year December mimi nawe tuliwahi kukwazana ama kutofautiana lugha.
By that time mimi nilikua Nrb, ndo sababu ya kukumbuka.
Btw wana wa kiume mikwazano hapa na pale you never avoid.
Tusameheane kwa yaliopita.
Karibu mjengoni.
Kama rais nakutangazia kuwa umefutiwa dhambi zako zote.
Kwa kuwa umekiri kuwa mtu mwema, nitaongea na mwenyekiti wa mahusiano ndugu Erickb52 akufungishe ndoa na mlimbwende mmojawapo humu. (Usimzoee my love Lady doctor please)
Welcome on board.
Wapeee wapee eeh vidonge vyao wakimeza wakitemaaa ni shauri yaoooo...!
Nashukuru sana Rais wetu kwa busara zako....tunakuombea afya njema na utuongoze salama...msalimiea sana shemeji yangu Lady doctor ambaye bila yeye usingekuwepo madarakani mpaka sasa...asanteni sana!!!!!!
Naamini kwa sasa nitapata mke mwema tutakae endeleza maisha yetu hapa JF......Nawategemea wakuu kwa hili jambo jema....
Copy.
Arushaone Erickb52 Filipo LiverpoolFC PakaJimmy Kaizer Madame B Mrembo by Nature charminglady Lady doctor Evelyn Salt Arabela
Na wengineo..................................