Vipendhy vyangu leo nimeenda hosptal kumpeleka yule mdogo wangu tukaeleza yale matatizo km nilivyoeleza apa baada ya hapo wakampima presha imesoma 122/73,sukari 4.6 ile hali anayoipata kwenye kifua wamesema ni gesi so wametupa dawa tutumie siku 4 then turudi hosptal.ahsant kwa ushauri wenu ila nazidi kupokea ushauri mwengine