Nimerudi kundini....(Tecno)

Karibu sana jisikie uko nyumbani..
 
Mkuu umenunua Tsh. Ngapi wengine hatujui hata bei ......nataka nimnunulie mtoto mzuri akiwa anasubilia iPhone
 
K9 iyo
 
Unajua nn kila.kitu n iman aisee leo nmeamini koz,nmetumia tecno spak k7,k9 sasa na k2 mbona ya kwaida tu broo k 2 na k 9 ram zao ni kubwa
Kusu camera k,7 iko mukide kuzd k2 japo zote zinalingana resolution.storage na xamera both front and back
Wanosema ikikaa mwaka inazingua waongo buana ni iman,matunzo yako binafsi,m naiza yangu aisee kama kuna mteja nko karatu
 
Ubaya wa techno baada ya mwaka mmoja itaanza kumisbehave!
sasa we unataka utumie cm miaka mingap mwaka unatosha unauza unaongeza pesa kidogo unanunua ingine au unataka mpaka ikufie
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…